Picha,nay wa mitego anaswa kitandani na wanawake wakiwa nusu utupu zaidi ya 5

Huwa nkifuatilia hawa vijana wa ubongo wa flev naumw kichwa. Ndio nini hiyo??
 
Ney angekuwa na msemaji wake huku jf kama partner wake wa Muziki gani,Tungepata maelezo ya hizi Picture,,sasa hapa kila mtu anajibu lake.

H O D muulize Diamond,amuulize ney hiz pic nizanini then uje utuhabarishe.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Stunts ni sehemu ya music industry hopefull itakua anataka kuipz kick the cumin video
 
Ney angekuwa na msemaji wake huku jf kama partner wake wa Muziki gani,Tungepata maelezo ya hizi Picture,,sasa hapa kila mtu anajibu lake.

H O D muulize Diamond,amuulize ney hiz pic nizanini then uje utuhabarishe.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ok,

NEY ameachia wimbo unaitwa NAKULA UJANA. Maana fupi ya jina hilo ni kua anakula raha, au anakula maisha, au.anafanya starehe..

Hizo picha ni sehemu tu za clips zilizoko kwenye wimbo wake huo.
 
Back
Top Bottom