Picha,nay wa mitego anaswa kitandani na wanawake wakiwa nusu utupu zaidi ya 5

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amefungua ukurasa mpya wa skendo baada kuachia picha zake alizozipiga kihasarahara akiwa laivu na warembo katika chumba cha hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini Kenya.
NAYWAMITEGO2.jpg
Nay wa Mitego akiwpozi na warembo katika chumba cha hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini Kenya.
Mkali huyo ambaye anatamba na kibao ha Peleka Salam, amevujisha picha hizo zinazomuonesha akiwa amezungukwa na warembo hao huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi na nyingine kufunikwa na taulo.
NAYWAMITEGO1.jpg
Nay akiwa amezungukwa na warembo.
Aidha warembo hao nao walionekana kuchojoa viwalo vyao na kujifunika mataulo tu kuziba sehemu za miili yao.
Nay wa Mitegho ambaye alienda Nairobi hivi karibuni na kukutana na wasanii kadhaa wa jijini humo ambao walimtembeza katika viwanja kadhaa vya starehe katika mishemishe za kujirusha na kugundua kwamba anakubalika sana nchini humo.
NAYWAMITEGO3.jpg
...Akichat kwenye simu katikati ya warembo hao.
Mwandishi wetu alimvutia waya, Nay wa Mitego ambaye amerejea nchini hivi karibuni ili kutaka kujua sababu za kupiga picha hizo , msanii huyo alikiri kuzipiga huku akikanusha kutenda ufuska wa aina yoyote ile.
NAYWAMITEGO4.jpg

...Mtu kati
“ Nilipokuwa Nairobi nimepiga picha nyingi kutokana na kuwa na mashabiki wengi nchini humo lakini zipo nyingine ambazo kwa kweli si nzuri ila nilizipiga kwa ajili ya video yangu mpya,” alisema Nay wa Mitego.”
 
Akili ya haraka haraka inanishawishi kuwa kwa jinsi picha ilivyo ni kama inazungumzia ile ngoma yake ile mpya....ckumbuki jina lake lakini ni kama inazungumzia ku-enjoy maisha ya ujana! If so, basi itakuwa ni still pic ya video kwa ajili ya hiyo nyimbo.
 
Nafikiria hivyo pia
 
Nakula ujana hiyo ndo inaandaliwa du jamaa wanajua kuzushiana bila hata kufatilia hiyo video new song Nakula ujana
 
Back
Top Bottom