Picha,nay wa mitego anaswa kitandani na wanawake wakiwa nusu utupu zaidi ya 5


Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
428
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 428 180

[FONT=&quot][/FONT][FONT=&quot]MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amefungua ukurasa mpya wa skendo baada kuachia picha zake alizozipiga kihasarahara akiwa laivu na warembo katika chumba cha hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini Kenya.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]
[/FONT][FONT=&quot]Nay wa Mitego akiwpozi na warembo katika chumba cha hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini Kenya.[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Mkali huyo ambaye anatamba na kibao ha Peleka Salam, amevujisha picha hizo zinazomuonesha akiwa amezungukwa na warembo hao huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi na nyingine kufunikwa na taulo.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]
[/FONT][FONT=&quot]Nay akiwa amezungukwa na warembo.[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Aidha warembo hao nao walionekana kuchojoa viwalo vyao na kujifunika mataulo tu kuziba sehemu za miili yao.
Nay wa Mitegho ambaye alienda Nairobi hivi karibuni na kukutana na wasanii kadhaa wa jijini humo ambao walimtembeza katika viwanja kadhaa vya starehe katika mishemishe za kujirusha na kugundua kwamba anakubalika sana nchini humo.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]
[/FONT][FONT=&quot]...Akichat kwenye simu katikati ya warembo hao.[/FONT]
[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Mwandishi wetu alimvutia waya, Nay wa Mitego ambaye amerejea nchini hivi karibuni ili kutaka kujua sababu za kupiga picha hizo , msanii huyo alikiri kuzipiga huku akikanusha kutenda ufuska wa aina yoyote ile.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]
[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
[FONT=&quot]...Mtu kati[/FONT]
[FONT=&quot] “ Nilipokuwa Nairobi nimepiga picha nyingi kutokana na kuwa na mashabiki wengi nchini humo lakini zipo nyingine ambazo kwa kweli si nzuri ila nilizipiga kwa ajili ya video yangu mpya,” alisema Nay wa Mitego.” [/FONT]
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Likes
244
Points
160
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 244 160
huyu jamaaaa anapenda kulazimisha jina huyu ...
 
foshizzle

foshizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
376
Likes
1
Points
0
foshizzle

foshizzle

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
376 1 0
Mbona naona wasanii wa bongo movie? hii itakua ni movie inachezwa.
 
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,305
Likes
1,633
Points
280
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,305 1,633 280
Akili ya haraka haraka inanishawishi kuwa kwa jinsi picha ilivyo ni kama inazungumzia ile ngoma yake ile mpya....ckumbuki jina lake lakini ni kama inazungumzia ku-enjoy maisha ya ujana! If so, basi itakuwa ni still pic ya video kwa ajili ya hiyo nyimbo.
 
mnyepe

mnyepe

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2008
Messages
1,920
Likes
49
Points
145
mnyepe

mnyepe

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2008
1,920 49 145
Akili ya haraka haraka inanishawishi kuwa kwa jinsi picha ilivyo ni kama inazungumzia ile ngoma yake ile mpya....ckumbuki jina lake lakini ni kama inazungumzia ku-enjoy maisha ya ujana! If so, basi itakuwa ni still pic ya video kwa ajili ya hiyo nyimbo.
Nafikiria hivyo pia
 
Vikao vya Harusi

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
496
Likes
5
Points
35
Vikao vya Harusi

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
496 5 35
Matatizo ya BAVICHA haya
 
D

dav22

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
1,897
Likes
38
Points
145
D

dav22

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
1,897 38 145
Ngoja kujana ale vichwa ndo wakati wake bana
 
princetx

princetx

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
583
Likes
77
Points
45
princetx

princetx

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
583 77 45
Anaswa kitandani na wanawake au micharuko?
 
dizzle kiraka

dizzle kiraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Messages
416
Likes
16
Points
35
dizzle kiraka

dizzle kiraka

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2012
416 16 35
Akili ya haraka haraka inanishawishi kuwa kwa jinsi picha ilivyo ni kama inazungumzia ile ngoma yake ile mpya....ckumbuki jina lake lakini ni kama inazungumzia ku-enjoy maisha ya ujana! If so, basi itakuwa ni still pic ya video kwa ajili ya hiyo nyimbo.
Nakula ujana hiyo ndo inaandaliwa du jamaa wanajua kuzushiana bila hata kufatilia hiyo video new song Nakula ujana
 

Forum statistics

Threads 1,274,194
Members 490,604
Posts 30,504,122