Picha: Nape,Mgeja na Maige wafunga kampeni za CCM kata ya Bugarama, Kahama - wananchi wachache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Nape,Mgeja na Maige wafunga kampeni za CCM kata ya Bugarama, Kahama - wananchi wachache

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by nngu007, Oct 28, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145


  [​IMG]
  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
  akiwa katika mapokezi ya wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kufunga
  kampeni za CCM za udiwani kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.

  [​IMG]
  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
  akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM za
  udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga, jana Oktoba 27.

  [​IMG]
  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
  Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakiwa na watafiti wa madini kutoka
  kampuni ya Majordrilling, katika kijiji cha Kakola wilayani Kahama
  mkoani Shinyanga.

  [​IMG]
  Baadhi ya Wazee
  wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya
  CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipohutubia mkutano wa kufunga
  kampeni za udiwani za CCM Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.

  [​IMG]
  Kina
  mama wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya
  Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Kata ya Bugarama , Kahama
  mkoani shinyanga.

  [​IMG]
  Mzee
  wa miaka 98, Nickson Toma akifuatilia kwa makini mkutano wa kampeni za
  udiwani Kata ya Bugarama mkoani Shinyanga uliohutubiwa na Katibu wa
  Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

  [​IMG]
  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
  akicharaza ngoma kwenye mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya Bugarama,
  Kahama mkoani Shinyanga.

  [​IMG]
  Wananchi
  katika kata ya Bugarama , Kahama mkoani Shinyanga, wakishangilia wakati
  wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata
  hiyo.

  [​IMG]
  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
  akisalimiana kwa furaha na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamis
  Mgeja walipokutana katika Kata ya Kakola, kabla ya kwenda kwenye mkutano
  wa kufunga kampeni za udiwani za CCM kata ya Bugarama mkoani humo.

  [​IMG]
  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na
  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Sinyanga Hamis Mgeja wakishiriki kucheza ngoma
  ya Baswezi kwenye mkutano wa kampeni za udiwani kata ya Bugarama mkoani
  humo.
  [​IMG]

  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na
  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Sinyanga Hamis Mgeja wakishiriki kucheza ngoma
  ya Baswezi kwenye mkutano wa kampeni za udiwani kata ya Bugarama mkoani
  humo.

  [​IMG]
  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
  akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakati
  akimuombea kura mgombea udiwani wa CCM Kata ya Bugarama, kwenye mkutano
  wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika mji mdogo wa Bugarama.

  [​IMG]
  [​IMG]
  Katibu
  wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
  akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Bugarama, Nixon Igogo kwenye mkutano
  wa kufunga kampeni za udiwani za CCM.

  [​IMG]
   
 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wamependeza ile mbaya. Watashinda
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mbona hatuoni viongozi wengine wa chama wakiwa katika kampeni ya udiwani? au hela zao zimeisha wakihonga kwenye chaguzi za uvccm na NEC nini? inaonekana kama nape tu ndio yuko interested na uchaguzi wa madiwani wengine hawana habari....
   
 4. K

  Kwameh JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 80
  [​IMG]

  Overweight
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Maige na Nape, vijana wadogo lakini matumbo makuuubwa - madhara ya kuuza viwanja vya wazi, hakuna pa kufanyia mazoezi.
   
 6. H

  Honey K JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nape kiboko, kamburuza Dr. Slaa kwenye kata hiyo kwa mbali sana. CCM imshinda kwa zaidi ya kura 800 wakati CDM wakiwa na 300 tu pamoja na Dr. Slaa kukaa kwa zaidi ya siku nne katani hapo na Nape kakaa siku mbili tu
   
 7. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu kiongozi mwingine wa ccm hawezi kuja labda asiwe waziri.Manake akija kwenye kampeni kama waziri ni kosa kwai atahesabika kama kiongozi wa kitaifa.
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  katibu mkuu wa ccm yuko wapi? viongozi wengine wa chama? kwani nape ndio kiongozi pekee wa chama?
   
 9. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,137
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:

  CCM wako kwenye mchakato wa uchaguzi ndani ya chama chao. Kampeni za udiwani kwao kwa sasa siyo kipaumbele. Ndiyo maana viongozi wengi wa kitaifa hawaonekani kwenye kampeni mbalimbali kwa sababu hawana uhakika kama kesho watachaguliwa ndani ya chama.

   
 10. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,171
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Taarifa kutoka Liwale kata ya Makata, Mgombea udiwani kwa tiketi ya CUF amemgaragaza kwa mbali mgombea wa CCM aliyekuwa na kashfa lukuki za ufisadi kwenye chama cha msingi cha ushirika ambacho yeye alikuwa mwenyekiti kabla ya kugombea udiwani
   
Loading...