Picha: Nani amemuelewa Zitto hapa?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,745
30,039
Kama waziri mwenye dhamana ameshatoa maelekezo kunahitajika mahakama tena?

Je wapinzani wameshaenda mahakamani?

Nadhani tamko la Waziri Jafo lina nguvu za kisheria lakini inahitajika kwanza maridhiano ya kisiasa kabla ya lolote kutamkwa ama kufanyika
received_418537222380763.jpeg
 
Nilichoelewa ni hiyo ,,tusilamiane” nakumbuka demu wangu alikuwa akitaka kunilazimisha nifanye kitu anachotaka kama nikigoma alikuwa anapenda kunitisha kwa kusema ,, kama hutaki baadaye tusilaumiane” akimaanisha eti atatoka na mwingine, kama sifanyi atakavyo, lkn alikuwa ni immature hata hivyo, ila alikuwa kitu usipime.
 
Kama waziri mwenye dhamana ameshatoa maelekezo kunahitajika mahakama tena?

Je wapinzani wameshaenda mahakamani?

Nadhani tamko la Waziri Jafo lina nguvu za kisheria lakini inahitajika kwanza maridhiano ya kisiasa kabla ya lolote kutamkwa ama kufanyikaView attachment 1260336

Sasa hapo ameweka kanuni zinazoongoza uchaguzi, wewe unasema kakosea bila rejea yeyote.

Kama Waziri Angekua na hayo mamlaka kisheria ungejitahidi kuweka rejea ya kanuni.
 
Muulize Zito ,wao wakati wanajiotoa waliandika balua Tamisemi au walitoa tamko tu!
Act yake imesimamisha wagombea 0.5 nchi nzima, alafu atupigie kelele
 
Nilichoelewa ni hiyo ,,tusilamiane” nakumbuka demu wangu alikuwa akitaka kunilazimisha nifanye kitu anachotaka kama nikigoma alikuwa anapenda kunitisha kwa kusema ,, kama hutaki baadaye tusilaumiane” akimaanisha eti atatoka na mwingine, kama sifanyi atakavyo, lkn alikuwa ni immature hata hivyo, ila alikuwa kitu usipime.
Pole mkuu...ulichapiwa
 
Kama waziri mwenye dhamana ameshatoa maelekezo kunahitajika mahakama tena?

Je wapinzani wameshaenda mahakamani?

Nadhani tamko la Waziri Jafo lina nguvu za kisheria lakini inahitajika kwanza maridhiano ya kisiasa kabla ya lolote kutamkwa ama kufanyikaView attachment 1260336
Hujaelewa nini? Umesoma hivyo vifungu alivyovitaja Zitto kisha ukafanya comparison na maelezo ya waziri wenu Jafo?
 
Kama waziri mwenye dhamana ameshatoa maelekezo kunahitajika mahakama tena?

Je wapinzani wameshaenda mahakamani?

Nadhani tamko la Waziri Jafo lina nguvu za kisheria lakini inahitajika kwanza maridhiano ya kisiasa kabla ya lolote kutamkwa ama kufanyikaView attachment 1260336
Waziri hana mamlaka ya kutengua sheria, wagombea waliondolewa kwa madai ya kutofuata sheria na kwa mujibu wa Polepole CCM ilitumia wanasheria kujaza fomu zote za wagombea! Na Jafo alishasema wagombea hawakujaza fomu kulingana na matakwa ya sheria hivyo wajilaumu wenyewe, sasa huruma hii ya Jafo inatoka wapi ya kuweza kutengua sheria? Mahakama ndiyo inayoweza kuona kama kulikuwa na kosa au la na si waziri, kama alipindisha sheria kwa kusudi au la mahakama iseme lakini kwa sasa wapinzani hawana sababu kwenda mahakamani bila ya uchaguzi kusimamishwa kwanza.
 
Back
Top Bottom