Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,796
- 32,660
Ebwana wana JF mzuka!
Acheni sagodi aitwe sagodi. Yani masogange haoni ndani ni hataree. Sasa naamini ni kwa nini kuna watu wanahonga hadi renjii.
Mwenyez tusaidie na utupe uvumilivu waja wako kuondokana na haya majaribu.