PICHA na VIDEO: Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
5.jpg

Hapo hakuna Udini, Ukabila, Urafiki wala Ushikina; kutoka kushoto ni Marehemu Habib Halala, Mzee Paul Soizgwa, JK Nyerere, Brig. Hashim Mbita, Mzee Mkapa, siku kumi kabla ya JK kustaafu uraisi 1985

TULIKUWA NA RAHA NCHINI TULIKUWA HATUJAUZWA KAMA SASA HIVI...

321691_2037562706118_1455753503_31706048_1637713393_n.jpg
 
Hii picha inaonesha Nyerere na FISADI NAMBA MOJA TZ MKAPA. Nyerere ndiye aliyemtengeneza Mkapa na Ufisadi.

Haya tupe Ufisadi wa Uhakika wa Mkapa, acha ushirikina ongea ukweli uongo unaua!!!

Umesahau Nyerere pia ndie alieyemtengeneza Ali Hassan Mwinyi hakukua Madarakani alijiuzulu lakini Nyerere alimpenda
Si Mwinyi ndie alieanzisha Azimio la Zanzibar na kuvunja vunja Azimio la Arusha?

Na kuweka wafanya biashara kwenye Siasa??
 
Mkapa ni kinyonga. Nyerere alipokuwa hai, Mkapa alikuwa mjamaa safi, kiasi cha kuitwa Mr. Clean.
Nyerere alipofariki Mkapa akaota mkia, pembe, jicho moja kwenye paji la uso na meno na ulimi wa Dracular vikamtoka.
Akaanza kula kila kitu, yeye, mkewe na yule Zero Brain aliyesafiri kwa kiberenge toka Tabora hadi Kigoma, na Kigoma akakataliwa kupanda ndege, kudadadadeki.
Kweli kuna watu na ma gamutu
 
Haya tupe Ufisadi wa Uhakika wa Mkapa, acha ushirikina ongea ukweli uongo unaua!!!

Umesahau Nyerere pia ndie alieyemtengeneza Ali Hassan Mwinyi hakukua Madarakani alijiuzulu lakini Nyerere alimpenda
Si Mwinyi ndie alieanzisha Azimio la Zanzibar na kuvunja vunja Azimio la Arusha?

Na kuweka wafanya biashara kwenye Siasa??

Nimejibu hiyo picha kwa sababu yupo Mkapa na Siyo Mwinyi ambae alikuwa rais. Ufisadi wa Mkapa= billions paycheck from Tanesco and other corruption sources
 
Hii picha inaonesha Nyerere na FISADI NAMBA MOJA TZ MKAPA. Nyerere ndiye aliyemtengeneza Mkapa na Ufisadi.

tena unatuboa,wewe huon alchofanya mkapa kwl?umetumwa wewe,kikwete si fisadi kafanya nini?katba ingeruhusu nilitaman mzee mkapa aendelee kuwa rais wa nchi hii alau mpaka 2020
 
tena unatuboa,wewe huon alchofanya mkapa kwl?umetumwa wewe,kikwete si fisadi kafanya nini?katba ingeruhusu nilitaman mzee mkapa aendelee kuwa rais wa nchi hii alau mpaka 2020

Nimejibu kutokana na hoja iliyowekwa kwenye picha. Ktk hizo picha hayupo JK, yupo Mkapa ambaye alikuwa rais. Focus na topic acha jazba za siasa.
 
hao ndo walikuwa viongozi..hata ukizitazama sura zao hakuna aliyekuwa na chembe ya ufisadi...labda huyo aliyekuja kubadilika baadaye sana na kuwa fisadi mchapakazi ambaye kwangu ni nafuu kuliko huyu fisadi mzururaji
 
Haya tupe Ufisadi wa Uhakika wa Mkapa, acha ushirikina ongea ukweli uongo unaua!!!

Umesahau Nyerere pia ndie alieyemtengeneza Ali Hassan Mwinyi hakukua Madarakani alijiuzulu lakini Nyerere alimpenda
Si Mwinyi ndie alieanzisha Azimio la Zanzibar na kuvunja vunja Azimio la Arusha?

Na kuweka wafanya biashara kwenye Siasa??

1. kujiuzia mgodi kwa milion 70, mgodi ulikuwa unakadiriwa kuwa na thamani ya tsh. 700/=million. alishirikiana na Yona.
2. kununua ndege ya raisi, ambayo inakubalika ni mdege wa kitajiri kabisa kwa nchi kama yetu ilikuwa haitufai
3. kuuza nyumba za NHC kwa bei ya kutupwa, huku wao wakijiuzia nyumaba nyingi kwa bei ya kutupwa. Hili alishirikiana na Magufuli
3. kuanzisha sera ya ubinafishaji, ilyopelekwa kuuzwa kwa mashirika ya umma kwa bei ya hasara. Mfano NBC BANK
4. Sheria zinazotutesa hii leo za madini, kodi, na mengine, zilitekelezwa kwa kiasi kikubwa wakati wake.
5. ndiye aliyefanikisha wizi wa mabillioni ya sh. kwenye akaunti ya EPA. kipindi hicho alikuwa anauaga urais na kujenga mtandao wa kuhakikisha KIKWETE anashinda.
6. kubariki ununuzi wa rada mbovu kwa bei ya kutupwa.
7. kubariki kuuzwa kwa ubalozi wa Italy, na kutoa pesa nyingi kuliko zilizokuwa zinahitajika kununua majengo mengine yeye na Maharu

yapo mengi, mengine hayafahamiki
 
hao ndo walikuwa viongozi..hata ukizitazama sura zao hakuna aliyekuwa na chembe ya ufisadi...labda huyo aliyekuja kubadilika baadaye sana na kuwa fisadi mchapakazi ambaye kwangu ni nafuu kuliko huyu fisadi mzururaji

unamaanisha Mkapa=FISADI MCHAPA KAZI na KIKWETE=FISADI MZURURAJI?
 
kwenye hiyo namba 5 ukifuatilia ukweli BM hakuhusika. Alilazimika kuwa mpole kwa kuwa alikuwa anaondoka madarakani na mrithi wake alikuja na spidi kubwa. Speech ya mwisho ya Bilali na media kabla hajakimbilia Marekani alisema, "anayetaka ukweli wa EPA haitakii mema nchi maana ukweli ukijulikana nchi haitokalika". Na ndo ukweli ulivyo, Malaika (code name ya JK kwenye mtandao) alilazimisha pesa hizo zichotwe.
 
Kuna wakati Mtikila alisema BWM si Mtanzania kama inavyozushwa kwa wengine!
 
Haya tupe Ufisadi wa Uhakika wa Mkapa, acha ushirikina ongea ukweli uongo unaua!!!

Umesahau Nyerere pia ndie alieyemtengeneza Ali Hassan Mwinyi hakukua Madarakani alijiuzulu lakini Nyerere alimpenda
Si Mwinyi ndie alieanzisha Azimio la Zanzibar na kuvunja vunja Azimio la Arusha?

Na kuweka wafanya biashara kwenye Siasa??

Mkuu huyo ni fisadi mkuu! Alifanya tathimini ya thamani ya Kiwira akakuta ni 700milioni akajiuzia kwa 70milion! Alikarabati nyumba ya serikali aliyokuwa anakaa wa 60bilioni hela za serikali alafu ajiuzia kwa bei ya kutupwa!
 
tena unatuboa,wewe huon alchofanya mkapa kwl?umetumwa wewe,kikwete si fisadi kafanya nini?katba ingeruhusu nilitaman mzee mkapa aendelee kuwa rais wa nchi hii alau mpaka 2020

Mkapa mwizi tena yeye na mkewe walifanya biashara IKULU acha kutetea uozo,magamba wezi.
 
hao ndo walikuwa viongozi..hata ukizitazama sura zao hakuna aliyekuwa na chembe ya ufisadi...labda huyo aliyekuja kubadilika baadaye sana na kuwa fisadi mchapakazi ambaye kwangu ni nafuu kuliko huyu fisadi mzururaji

Ndio matarishi wa mafisadi mlivyokubaliana hii iwe single yenu mpya ya kumuuza bwana mkubwa wenu?... Kwa kifupi kamwambie "test run" yako
imestukiwa na watanzania are not that stupid kuwa taken for granted with just slogans kama hii ya FISADI MCHAPAKAZI!...FISADI ni FISADI TU period!
 
Landscapping ya Ikulu imechokaaaa!

Huyu angetuleteaje maendeleo wakati ye mwenyewe anakanyaga vumbi Ikulu na haoni ni tatizo?

Huyu Una Maana Mzee Nyerere? Ukiangalia Ikulu sasa hivi hakuna Vumbi Landscapping nzuri kwahiyo tuna Maendeleo sasa hivi zaidi ya wakati Ule?

Au sasa hivi Mafisadi ndio wengi wanagawana mali kama karanga...
 
Back
Top Bottom