Picha na majina ya wanajeshi 13 walouawa Kabul Airport juzi

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
772
2,333
Leo ni siku ya mwisho ya kuondoka mwanajeshi wa mwisho wa marekani nchini Afghanistan wakiwa wameuliwa wanajeshi 13 kwenye harakati za kuhamisha Raia wakigeni na wakimbizi wa Afghanistan.
20210830_212320.jpg
20210830_212755.jpg
20210830_180930.jpg
20210830_180838.jpg
20210830_180908.jpg
 
Let their souls rest in peace.
Nb:, ninapopita katika magumua kabisa moja ya vitu Uwanafanya naingia YouTube na tafuta hutuba ya Captain moore(Vietnam War/we were a sordiers ) Naisikiliza Mara kadhaa then nahisi moyo wangu unagain energy mpya na ujasili wa kuendelea ku- fight.
 
Back
Top Bottom