Picha na Maelezo: Mkutano wa Chadema Kyerwa - Freeeman Mbowe

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
attachment.php

attachment.php
Sehemu ya umati wa watu uliofika kumsikiliza mwenyekiti wa cham cha Demokrasia na Maendeleo (T) Mhe. Freeman Mbowe....
 
Attachments

  • IMG-20150426-WA0048.jpg
    IMG-20150426-WA0048.jpg
    211.2 KB · Views: 8,531
  • IMG-20150426-WA0049.jpg
    IMG-20150426-WA0049.jpg
    187.3 KB · Views: 8,206
Kwa hali hii c.c.m wana haki ya kushirikiana polisi kuihujumu chadema.
Mbona hiki chama kimekuwa tishio kwa uhai wa c.c.m na washirika wake?
Mumgu ibariki chadema ,mungu bariki wana chadema.
 
Kwa hali hii c.c.m wana haki ya kushirikiana polisi kuihujumu chadema.
Mbona hiki chama kimekuwa tishio kwa uhai wa c.c.m na washirika wake?
Mumgu ibariki chadema ,mungu bariki wana chadema.
Bahati mbaya hujuma zao zimeshindwa tena vibaya sana...
 
Vyama viruhusiwe kufanya mkutano wakati wa uchaguzi tuu....kuna vyama vina sifa sana kuwe na usawa wengine tunategemea kinana ahutubie na fisi...
 
Back
Top Bottom