Picha na mabango ya Lowassa

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,186
2,455
Wakuu, Nimekuwa nikipata shida na timu ya ushindi ya Ukawa,mpaka sasa hakuna picha na mabango makubwa ya Mh Lowasa,Picha hizi zina maana kubwa sana.

Kuna mabango ya ukawa yale ya MABADILIKO ni sawa lakini mabango haya si kila mtu anayeweza kuyaelewa kwa haraka.Chondechonde Wakuu mnaohusika Picha za mgombea zina maana kubwa.
 
UKAWA hawakujipanga kwakweli. Sina uhakika sana kama hii safari tutafika mwisho. Yaani tumewaachia CCM uhuru sana.
 
Wakuu, Nimekuwa nikipata shida na timu ya ushindi ya Ukawa,mpaka sasa hakuna picha na mabango makubwa ya Mh Lowasa,Picha hizi zina maana kubwa sana.Kuna mabango ya ukawa yale ya MABADILIKO ni sawa lakini mabango haya si kila mtu anayeweza kuyaelewa kwa haraka.Chondechonde Wakuu mnaohusika Picha za mgombea zina maana kubwa.
Kuwa na subira kwa kuwa kuna msemo unaosema haraka haraka haina mbaraka na subira yavuta kheri.
 
Wakuu, Nimekuwa nikipata shida na timu ya ushindi ya Ukawa,mpaka sasa hakuna picha na mabango makubwa ya Mh Lowasa,Picha hizi zina maana kubwa sana.Kuna mabango ya ukawa yale ya MABADILIKO ni sawa lakini mabango haya si kila mtu anayeweza kuyaelewa kwa haraka.Chondechonde Wakuu mnaohusika Picha za mgombea zina maana kubwa.

Mbona mabango ya picha yapo,nimeona moja pale Dar free Market,lingine kwenye mataa ya selander bridge.
 
Mbona mabango ya picha yapo,nimeona moja pale Dar free Market,lingine kwenye mataa ya selander bridge.

Mkuu mimi sijaiona japo moja,na leo nimetembelea Kariakoo,Magomeni,Mwananyamala,Mwenge,Makumbusho na Temeke lakini sijaiona hata moja
 
Hawa ukawa sielewi wanataka kutumia mbinu gani. Hii ni aibu kama wanashindwa kufanya jambo dogo kama hilo. kama hawana hela si waseme wananchi wapige donee.
 
UKAWA hawakujipanga kwakweli. Sina uhakika sana kama hii safari tutafika mwisho. Yaani tumewaachia CCM uhuru sana.

Hivi unaelewa maana ya safari ya matumaini wewe?hivi unaanzaje kupanda kwenye meli ambayo nahodha wake kishasema Ni safari ya matumaini?
Nyie Ni malofa sana,kwi,kwi.
 
Wanini sasa?
ulofa.jpg

bao la mkono na ulofa.jpg

View attachment 282523

magufuli akiwa internship na rais wa misiba.
View attachment 282524

CCM wakinunua utu na heshima za watanzania kwa ubwabwa
View attachment 282525

View attachment 282526
 
Back
Top Bottom