Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,429
Sasa Jambo la ajabu lipi kwa huyo kujiunga na Chadema hadi itangazwe? Wanachama wengine hawana maana kisa ana jina la Nyerere tu ndio mna mpaisha!?
Ni lazima itangazwe;kama Julius Nyerere akianzisha CCM,na Francis Nyerere akijiunga na Chadema,that is news,that is,what shall we say,inconsistency in the family.