PICHA:Mwili wa Mzee Mabina aliekuwa mwenyekiti wa ccm mwanza

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
771
mabina.jpg mabina mochwari.jpg mabina mochwari.jpg
Mungu atupe busara katika utafutaji wa mali hapa duniani.
R.I.P Mzee!
 
Hakuna kitu kibaya kama wananchi wakisema " we have nothing to loose" (Liwalo na lile, hatuna cha kukosa).
 
Ni somo maridhawa kuwa hakuna risasi inayoweza kizuia jambo ikiwa wananchi wanaamua kulitenda
 
Hayo mawe wananchi walikuwa wanabeba timu au walipiga baada ya kuwa amekwisha kufa?.maanake mtu mmoja hawezi beba jiwe kama ilo,lakini hasira siyo mchezo.mabina rest where you deserve.
 
Back
Top Bottom