PICHA:Mwili wa Mzee Mabina aliekuwa mwenyekiti wa ccm mwanza

Utasikia chama kinatoa eneo lililokuwa na mgogoro kwa familia ya marehemu katika kuwapoza machungu.
 
tumsetiri Mahrehemu basi... maana kuna thread na picha tayari sasa sijui kama kuna sababu ya kuwa na thread just for mwili wa marehemu

sijui ni dini gani inaafiki hili

Mods please
 
You live by the sword; You die by the sword; God speed Mabina!
 
Kama Mabina aliua, naye akaua basi waliomuua wote nao wauwawe vilevile ili kuondoa akili za kipuuzi (watakaowaua walioua wawe maalumu) maana kilichofanywa na wananchi hao wala siyo chakusifia hata kidogo.
 
Tatizo alileta dharau,wananzengo wakasema ukuntimila mboku kumala chenge..akaleta za kuleta na wao wakatumia natural occuring silahas mawe.
 
ila hata kama yeye aliuwa pia hiyo adhabu was too much for him.
 
People's Power... si kwa tafsiri ile unayofkiria plz....kwa maana watu ndio waliomuua,
 
Back
Top Bottom