Picha,Mwigulu aiteka Mwanza hii leo, Wananchi Wamesema hawatarudia makosa 2015

CHAPA2015

Member
Oct 1, 2014
57
26
10461429_321054031430165_1257200098938413066_n.jpg

Mapokezi ya Mwigulu Mwanza jioni ya leo tar 12.12.2014 Viwanja vya shule ya Msingi Mabatini.
10382169_321053528096882_9023993479375782475_n.jpg

Mwigulu Nchemba akiwasili Viwanja vya Mabatini akiwa amongozana na Mwenyekiti wa Geita Ndugu Joseph Msukuma.
10858520_321053611430207_4980674157478630945_n.jpg

Wananchi wakifurahia Ujio wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Comrade Mwigulu Nchemba.
1507562_321053324763569_7051942344833148087_n.jpg

Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Mabatini Mwanza hii leo.
1535008_321053358096899_7413097274992200878_n.jpg

Naibu katibu Mkuu CCM Bara akionekana kukasilika na Kitendo cha Machinga na Mamantile kunyanyaswa Jijini Mwanza,Hivi sasa ameomba Halmashauri ya jiji la Mwanza iangalie upya swala la Kufukuza Machinga kwasababu hakuna tija kuacha Matajiri wakwepe kodi halafu tukimbizane na Machinga.
10857871_321053394763562_6409389599998343810_n.jpg

Sehemu ya Umati wa Wananchi wa Mabatini Mwanza wakimsikiliza Mwigulu Nchemba.
10846259_321053431430225_8309271374328442877_n.jpg
Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Mwigulu Nchemba amewaomba wakazi wa Mwanza kufanya Mabadiliko kwa Vitendo sio Kubadilisha Vyama.Ameomba waunge mkono jitihada za Chama cha Mapinduzi na wajitokeze kuwapigia kura wagombea wa Chama cha Mapinduzi.
10177884_321054328096802_2561571430127802494_n.jpg
10849831_321053951430173_4958600670061191820_n.jpg

Awali Mh:mwigulu Nchemba alifanya mkutano Uwanja wa Bwaloni Mwanza kabla ya Kueleka Mbatini,Hapa akizungumza na Wakazi wa Bwaloni Mwanza kuhamasisha Uchaguzi wa serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho kutwa.
 
weeee jiunge na mafisadi tuu....ni bora ukajitoa kabisa...serikali yake haikomi kuiba.waonezi wa maskini!!!! saa yenu ipo.. za mwizi arobaini.
 
Vp maroli na mafuso hayajasomba watu leo? Vp wali haukuwepo? Maana ss ccm tumezd kwa mambo hayo ndo maana wapinzan wanatudharau
 
Vp maroli na mafuso hayajasomba watu leo? Vp wali haukuwepo? Maana ss ccm tumezd kwa mambo hayo ndo maana wapinzan wanatudharau

Tabia hizi waachie wasichana ww kijana wakiume bwana. Ww kusema ni CDM am CUF unashindwa kwann? Au ndio ile mipasho yeenu tena?
 
weeee jiunge na mafisadi tuu....ni bora ukajitoa kabisa...serikali yake haikomi kuiba.waonezi wa maskini!!!! saa yenu ipo.. za mwizi arobaini.

Zwazwa povu limekutoka nahoja ya msingi huna. Mwigulu ndio mpango mzima 2015 na ccm muhiache miaka 8000
 
Kuna njaa sana sehemu kubwa ya nchi. Ukiambiwa bajeti ya ziara hizi utasikitika. They are paid for attending

Kiongozi kazi yake kuonyesha njia na umeweza Mwigulu, tunakuhitaji mtetezi wetu, we ndio sauti ya wanyonge tupiganie baba
 
Kiongozi kazi yake kuonyesha njia na umeweza Mwigulu, tunakuhitaji mtetezi wetu, we ndio sauti ya wanyonge tupiganie baba

Unae mtukuz unamjua vizuri laini? A isje kuwa umemezeshw DVD wakati mweyewe hata content zake hujui.
 
Mwigulu ni laghai mkubwa, hana jipya, akiwa kwa wananchi hulalamikia serikali, halafu wabunge wake wanaotuhumiwa kwa ufisadi kama kina chenge na ngeleja wanatamba tu! Kama yeye ana uchungu apendekeze wavuliwe uwanachama mara moja, nje ya hapo ni blah blah tupu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom