nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
- 11 June 2013
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Maalum ya CCM Kamati Kuu kilichokutana jana usiku mjini Dodoma kwa ajili ya kuipokea Rasimu ya Katiba mpya, iliyosomwa hivi karibuni.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu, waliohudhuria kikao hicho jana usiku.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba, akiperuzi mambo flani katika simu yake ya mkononi, wakati akiwa ukumbini humo kwenye Kikao cha Kamati Kuu kilichokutana jana usiku.
Sehemu ya Wajumbe wa Kikao hicho ambao wengi wao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.