Picha:Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kupokea rasimu ya katiba

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

  • 11 June 2013




Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Maalum ya CCM ‘Kamati Kuu’ kilichokutana jana usiku mjini Dodoma kwa ajili ya kuipokea Rasimu ya Katiba mpya, iliyosomwa hivi karibuni.








Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu, waliohudhuria kikao hicho jana usiku.




Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba, akiperuzi ‘mambo flani’ katika simu yake ya mkononi, wakati akiwa ukumbini humo kwenye Kikao cha Kamati Kuu kilichokutana jana usiku.






Sehemu ya Wajumbe wa Kikao hicho ambao wengi wao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 
Hongereni Makamanda lakini kazi mnayo. Katika vikao vyenu muwe mnajikumbusha na hotuba za Marehemu Mwalimu Nyerere kuhusu hatma yenu na mstakabali wa Taifa. Tuandalie na mswala ya udini pia isije ikawa mnaongelea ushindi wa kishindo tu.

Poleno kwa kibarua kigumu kilichoko mbele yenu

 
Siku za kuondoka CCM madarakani hazipo mbali maana hawana jipya na fikra za Kikoloni zimepitwa na wakati
 
naona harufu mbaya ya damu hapa ya mwangosi,kolimba,barlow,sokoine,nyerere duh RIP
 
Back
Top Bottom