Picha: Mwanza yetu jiji la dhahabu hii ndiyo hali halisi kwa barabara za ndani Kilimahewa

Kigezo kilichoupandisha mji kuwa jiji ilikuwa ni nini? inawezekana kuushusha hadhi huu mji wa Mwanza? Nilitegemea kama ni usafi basi Moshi inastahili kuwa jiji sasa.

vigezo vinatolewa kisiasa japokuwa Mwanza kiaina limekidhi vigezo tatizo ni serikali kuu nguvu imeelekezwa Dar pekee kwa kupewa miradi mingi but kinachotakiwa na jiji kama hili lipewe percentage flani ili kuboresha miundombinu kwani MZA kuna opportunity hata kabla ya kuwa jiji bado kuna shughuli kibao za kiuchumi zilikuwa zinafanyika kwa tija na mji ambao unahudumia mikoa jirani ya kanda ya ziwa
 
mtoa mada usichanganye watu, hiyo ni manispaa ya ilemela sio jiji la mwanza kulingana na mgawanyo wa juzi, pia eneo hilohilo kuna ujenzi wa barabara unaendelea najua picha umetoa g sengo kwa mwenye kutaka taarifa zaidi tembelea hapo
 
Mwanangu Nguu007
Onyesha na upande wa pili maana hakuna hadithi yenye upande mmoja. Mwanza haiwezi kuwa chepechepe yote. Una hoja lakini approach yako itaiharibu hoja yako. You are but biased na hii ni mbaya katika kuleta habari. Leta picha zaidi ya upande wa pili tutakuchangia ufurahi. Bila kufanya hivyo tutakuudhi kwani unatuudhi pia.

Its true, your observation is very right mkuu. There are such good places in Mwanza, mleta mada ilibidi aonyeshe pande zote mbili. Maeneo ya city centre, capripoint hata Isamillo pako classic sana, show the world both sides of the city.

Mkuu kweli kabisa nashindwa kuona tatizo lipo wapi..., angalia heading inaelezea hali halisi ya barabara za ndani Kilimahewa Mwanza..., (ambapo nimesikia hili ni tatizo kubwa hadi magari yaligoma kwenda..)

Sasa wewe unangangania aoneshe sehemu ambazo hazina tatizo what for ?, yaani mtu akielezea uchafu wa choo chako ili kiweze kusafishwa wewe utangangania kwamba sebule yangu ni safi?..


...You are Right Comrades. Muanzisha thread kubali tu kuwa umeshemsha. Thread yako inazungumzia JIJI la Mwanza kwa hiyo pamoja na kuonesha Ubovu wa Barabara hiyo ungeonyesha pia zile nyingine Nzuri.
Kama nia ilikuwa ni kutaka kuonyesha Ubovu wa barabara hiyo tu basi hata thread yako ungeianzisha mahsusi kwa ajili ya kuonyesha ubovu wa barabara husika tu....

 
...You are Right Comrades. Muanzisha thread kubali tu kuwa umeshemsha. Thread yako inazungumzia JIJI la Mwanza kwa hiyo pamoja na kuonesha Ubovu wa Barabara hiyo ungeonyesha pia zile nyingine Nzuri.
Kama nia ilikuwa ni kutaka kuonyesha Ubovu wa barabara hiyo tu basi hata thread yako ungeianzisha mahsusi kwa ajili ya kuonyesha ubovu wa barabara husika tu....


Mkuu on the Contary..., you have misrepresented me.., mimi ninakubaliana na mleta mada kwamba hana makosa.., hii habari ni kuhusu barabara za ndani za Kilimahewa na sio uzuri na ubaya wa barabara za Mwanza.., hivyo kwa mtizamo wangu hana kosa kabisa na ameonyesha hali halisi..., unless heading ingekuwa Barabara za Mwanza hapo ndio ungesema yupo biased
 
road hiyo iko kwenye matengenezo, mda si mrefu kutakuwa na lami. na maji hayo kwa kiasi kikubwa yametokana na kuvunjwa kwa daraja la mto kuelekea kwa msuka, hivyo maji yanazagaa ovyo.
 
Back
Top Bottom