PICHA: Mwandoskya atembelewa na Hawa Ghasia - India

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
2011-09-10+12.08.23.jpg



Hawa Ghasia amkabidhi Mark Mwandosya salamu toka Baraza la Mawaziri, huko India kwenye Hospitali ya Appollo
 
Mkuu,
Hakika ni muda mrefu sana mheshimiwa ameadimika nchini na yupo India kimatibabu, je ni kipi kikubwa hasa kinachomsumbua?
 
Mkuu,<br />
Hakika ni muda mrefu sana mheshimiwa ameadimika nchini na yupo India kimatibabu, je ni kipi kikubwa hasa kinachomsumbua?
<br />
<br />
Kansa ya damu (LEUKEMIA), ugonjwa ambao pia ulimuua Nyerere.
 
Get well soon mr Mark urejee kukaja ,toka uende matibabu na miradi ya maji nayo imeenda likizo.tumekumic sana mkuu.
 
Kama ni Leukemia na imegunduliwa Mapema ni kansa ambayo haiui kiurahisi kama Kansa nyingine...

Nyerere inaonyesha alikiuka maadili ya kuitibu, alijua anayo kwa Miaka Miwili lakini hakutaka Matibabu ya Hospitalini sababu Afya yake ilikuwa Murua
 
From his appearance, he does not look like somebody who is suuffering from leukaemia for that long!! Stop speculating pls!!!!

Ukiwa na Leukemia na unapata hiyo blood transfusion on time hauonekani mgojwa hata kidogo ni Kansa ambayo Survival Rate yake ni Kubwa haswa as long as your body accepted those changes.
 
Back
Top Bottom