(PICHA) Mwakyembe: Mjadala wa AFYA yangu UMEFUNGWA 'FULL STOP'

Hana jipya anasubiri huruma za ccm na El kunusuru.

Hata hivyo tumuache apumzuike tuone siasa ni mbaya sana hasa usipokuwa mjanja wa kucheza na hisia za watu.
 
Huna jipya wala huna maana yeyote, kelele zote ulizokuwa unapiga nasi tukakusapot kumbe nawe ni msaliti kama walivyo magamba wenzio, wewe ni hatari unaweza tumbukiza watu pabaya, utaangamia kwa kulinda njaa, waseme hao walokufanyizia unaogopa kupoteza kibarua?

na wale wazee waliopanga kumuona JK imekula kwao?
 
Nadhani wana jamvi hamjamwelewa Dr Mwakyembe

yeye anasema,kwa kuwa serikali imeunda tume ya kuchunguza ugonjwa wake,basi tuache tume imalize kazi yake na itatoa ripoti kwa wananchi.

nadhani anacho ogopa yeye ni kutoa taarifa ambayo labda itaweza kuilazimisha tume iseme kile alicho sema yeye.labda kama tume itakuja na majibu kinyume na Dr aonavyo,basi anaweza sasa kutueleza alicho nacho

Ni kweli...., na nimegundua kuna watu wanachangia kwa kuangalia walioanza kuchangia wanasemaje!! Aseee!
 
vibabu wa kyela geuzeni safari yenu. kama mko mikumi subiri basi mrudi kyela mkale mpunga na malori na mapeugeot

mwana wenu hataki muongelee afya yake.
 
Wewe mnafiki ukiwa umezidiwa kule India ulituahidi wadanganyika kuwa utakuja kulipua kila kitu vipi ni lini uta lipua au kazi hiyo umemwachia mnafiki mwezako Sitta....

Kweli ukiwa muuwaji hata ubinadamu unakosa tunajuwa shauku yenu nikuhakikisha Mwakyembe na Sitta hawapo duniani.tunawatakia heri katika mauwaji yenu ila mjiwe jambo moja mtavuna mnachokipanda.
 
Kuna KITU kikubwa sana nimejifunza kwenye maamuzi haya ya Mwakyembe. Hivi mntaka aseme au awaseme wenzie wakati wako katikati ya mtifuano na CHADEMA kwenye chaguzi ndogo za Udiwani na Ubunge wa Arumeru? Hawa jamaa siku zote ni "Strategical" kuliko wapinzani wao. Hivi kwa mfano kama wanayemtegemea kuwapigia Kampeni ndiye anayetarajiwa kutajwa na Mwakyembe unadhani wao watakubali Mwakyembe amtaje kwa sasa?

Haya mambo uchaguzi ukipita 1/04/2012 mtaanza kuyaona kwenye magazeti "yao" lakini kwa sasa kwa pamoja bila ya kujali tofauti zao wanapigana kuokoa kura za Arumeru. Siye wengine tuko bize kumwaga mboga au ugali. Taabu waliyoipata Igunga hawataki iwarudie tena Arumeru!! MJADALA UMEFUNGWA... FULL STOP!! MMEELEWA?
 
Wewe mnafiki ukiwa umezidiwa kule India ulituahidi wadanganyika kuwa utakuja kulipua kila kitu vipi ni lini uta lipua au kazi hiyo umemwachia mnafiki mwezako Sitta....

Duuuh hiyo ni norma aisee unkufa hivi hivi unaeona ---- Duuuh aisee mimi ni Mwakyembe natopoa kila kitu na bora nifee niokoe Wa Tanzania kabisa. Kwa sababu hata hivyo the poison wamemfanyia inammla sana ----- after all we will all die one way or another. Those who will be killing me silently will one day die too; if that's the case then, I will rather blow the whistle for the whole world to know what transpired with the WAFISADIS and why they are killing me silently. And let it be. PERIOD..... Atakaa kimya mpaka lini jamani ????
 
Kuna KITU kikubwa sana nimejifunza kwenye maamuzi haya ya Mwakyembe. Hivi mntaka aseme au awaseme wenzie wakati wako katikati ya mtifuano na CHADEMA kwenye chaguzi ndogo za Udiwani na Ubunge wa Arumeru? Hawa jamaa siku zote ni "Strategical" kuliko wapinzani wao. Hivi kwa mfano kama wanayemtegemea kuwapigia Kampeni ndiye anayetarajiwa kutajwa na Mwakyembe unadhani wao watakubali Mwakyembe amtaje kwa sasa?

Haya mambo uchaguzi ukipita 1/04/2012 mtaanza kuyaona kwenye magazeti "yao" lakini kwa sasa kwa pamoja bila ya kujali tofauti zao wanapigana kuokoa kura za Arumeru. Siye wengine tuko bize kumwaga mboga au ugali. Taabu waliyoipata Igunga hawataki iwarudie tena Arumeru!! MJADALA UMEFUNGWA... FULL STOP!! MMEELEWA?

HAAYAAA UNAJUA NI KWELI KABISA YA MWAKYEMBE NI SIRI NZITO SANA..... MIMI NIKIWA MWAKYEMBE POTELEA MBALI NATOBOA SIRI ZOTE ALAFU NIONE. NIKIFA WANANCHI WATAJUA KABISA UKWELI KUA HAWA MAFISADI, MKAPA, LOWASA, ROSTAM, NA KIKWETE NIDO WAMENIMALIZA. KABISA AND LET JUSTICE PREVAIL. Tanzanians are not fools to play around with. Already wanajua
 
mpuuzi huyu ulivyokua anaumwa aliomba watanzania tumwombee..na kila alivyokua anabana na hoja za mafisadi alitegemea huruma ya wananchi leo anajifanya kumaliza mjadala kibabe.kwa vile ameshatutumia anavyotaka n leo anaonekana bado wa maana kwa huruma zetu poa mkuu..labda kama sio sumu lakini kama sumu utatafuta tu huruma ya watz dhidi ya maadui wako kisiasa manake ndio kutukodi kwenye vita vyako binafsi na kufanya vita ya kitaifa.
 
Mwakimango bwana ametuacha hoi. Hata hivo amebadirika sana sura kawa kama mkate wa Arusha.
 
naona kapata nafuu kidogo tu katusahau wananchi napenda ajue kuwa hajapona bado yetu macho na masikio
 
HAAYAAA UNAJUA NI KWELI KABISA YA MWAKYEMBE NI SIRI NZITO SANA..... MIMI NIKIWA MWAKYEMBE POTELEA MBALI NATOBOA SIRI ZOTE ALAFU NIONE. NIKIFA WANANCHI WATAJUA KABISA UKWELI KUA HAWA MAFISADI, MKAPA, LOWASA, ROSTAM, NA KIKWETE NIDO WAMENIMALIZA. KABISA AND LET JUSTICE PREVAIL. Tanzanians are not fools to play around with. Already wanajua

....mwakyembe au? na uwaziri amwachie nani??
 
HENCE SHOW, thanks 4 such conclusion, tujadili vitu vyenye maendeleo kwa taifa sasa NILWAHI KUSEMA SUALA LA MGONJWA NI YEYE NA TABIBU WAKE, KO POLENI MNAOTAKA ENDLESS MIJADALA& ISIO NA MASLAHI KWA MAENDELEO, sasa tujadili yanayotuhusu, elimu,afya,uchumi,makazi na ugumu wa maisha HATUTAKI KUSIKIA FULANI NI FISADI, AMEIBA HELA KAGODA EPA, RIHARD MONDULI ahhhhhahhhh bandu bha kyalaaa
 
Huyu Mwanasheria wa kujitegemea kwa jina Mwakyembe ni ndumilakuwili!! amewaliza watu wengi sana kwa unafiki wake. Watu wamefukuzwa kazi kwa ajili yake. Wageni wengi wanamtumia kuwakandamiza watanzania sehemu zao za kazi. Sishangai kwa hili. Anapenda sana attention. Hahahah wameshampa kitu kidogo asituzingue. Kelele nyiiiiiiiiiiingi mwisho wake ndio huu??? kweli siasa ni mazingaombwe!
 
for the sake of peace, national unity and stability he is right.Hakuna marefu yasiyo na ncha,busara imetumika kutuliza bomu ambalo lingalipuka,coz we were divided into two parts(Opposing & Supporting)

.
Kwa nini alihamua kusema yale aliyokwishasema kwa kutoa shutuma za kuuawa tena kwa maandishi na kisha kulalamika kuwa jeshi la Police halikuchukua hatua zozote na sasa anakuja na ragae ya kuwa suala hilo limefungwa?
Hapana haliwezi kufungwa bila sheria kuchukua mkondo wake. Hii sii nchi ya mavuvuzela wa kushadidia mambo mazito namna hiyo na kuachwa hivi. Mwakyembe aliwashutumu wale aliowabatiza mafisadi kutaka kumuua na sisi watanzania kwa kuaminishwa ni hili genge la kina mwakyembe imani ya ufisadi na kutuambia vinara ni kina mapacha watatu tukaamini na kuikiri hiyo imani popote. Sasa anajifanya mwongofu kutokana na huo upotofu? Hapana!! Manumba buruza hii mutu chochezi mahakamani haraka iwezekanavyo. Kama hutafanya hivyo basi hao aliowatuhumu mafisadi watamshughulikia accordingly. Hata hivyo makundi hayo mawili yakimkosa, kuna kundi ambalo hilo halitamkosa kamwe, Chadema wanachukua nchi 2015 wao watamshughulikia mwakyembe kwa unafiki na hilo kundi la pili kwa kufisadi nchi.
.
 
Back
Top Bottom