(PICHA) Mwakyembe: Mjadala wa AFYA yangu UMEFUNGWA 'FULL STOP' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

(PICHA) Mwakyembe: Mjadala wa AFYA yangu UMEFUNGWA 'FULL STOP'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Mar 19, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapa mwakyembe akiwasili kwa nguvu zote

  [​IMG]

  Hapo mwakyembe akielekea ofisini

  [​IMG]

  Mwakyembe akiongea na waandishi wa Habari na kunena kuwa mjadala umefungwa full stop hakuna mtu kujadili tena afya yake inaendelea vizuri

  [​IMG]
   
 2. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya baba. Tumekuzoea kwa kuficha mambo ukianzia na Richmond.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ngoja Lowasa na TISS wajipange upya...
   
 4. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Safi saaana. Karibu jembe letu.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wewe mnafiki ukiwa umezidiwa kule India ulituahidi wadanganyika kuwa utakuja kulipua kila kitu vipi ni lini uta lipua au kazi hiyo umemwachia mnafiki mwezako Sitta....
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Afya inaendelea vizuri, kwanini anavaa kofia ofisini na joto lote hili? Hii kitu ikishaingia kwenye bone marrow ni mgogoro sana! Hata hivyo nakutakia kila kheri, damu asimame nawe.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni hayo tu aliyoyaongea basi?
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  yes kasema in short mjadal wa afya yake umefungwa:closed_2::closed_2::closed_2::closed_2:
   
 9. M

  Maganiko Senior Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asa mbona alitafuta sana sympathy yetu watanzania kipindi afya yake ilipoyumba? Magamba bwana!
   
 10. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Huyu ni mnafiki, na mbaya zaidi ya yote mbinafsi. Mwakyembe alikuwa na nafasi nzuri sana ya kufichua genge la maharamia lakini ameamua kukaa kimya.
   
 11. c

  collezione JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Naona ameamua kuwalinda magamba wenzake. Akizidiwa tena hatutaki sympathy yake tena
   
 12. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli huyu ndugu ni mnafiki sana,kabla ya kuanza kuugua alitoa report/ttaarifa ya kutaka kuuawa na al shaabab,baada ya kuugua ndio akazidi kubwabwaja pasipo maelezo yoyote yenye rutuba na sasa ndio amekuja na hitimisho la unafiki. Najiuliza:
  1) Mwanzo mara zote alikuwa anatoa tuhuma kwa uuma ili iweje kama sio unafiki wa kutoiamini serikali na kutaka huruma ya wananchi??
  1)ikiwa mda wote huo amekuwa akitibiwa kwa kutumia kodi za wavuja jasho la wananchi (bare in mind wabunge hawakatwi kodi mishahara yao na masurufu yao kibao wakati hatamfagizi wa ofisi ya umma/binfsi anakatwa kodi), kwa nini wananchi wasipewe taarifa ya sababu na matokeo ya kodi yao??
  3) anaendelea kufanya kazi kwa ufanisi upi ikiwa alisema mwenyewe alilishwa sumu ofisini?? Ana uhakika gani wa kutokumbana tena na matatzo ya usalama ikiwa hana imani na kina Manumba??
  4) Katika hili kwa nini tu asishitakiwe na kina Manumba,yeye na Sita wake kwa kutoa kauli za kuhatarisha na kuichonganisha serikali/polisi na umma!!

  Mwakiembe ni mnafiki na mchumia tumbo!!!
   
 13. g

  greenstar JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  for the sake of peace, national unity and stability he is right.Hakuna marefu yasiyo na ncha,busara imetumika kutuliza bomu ambalo lingalipuka,coz we were divided into two parts(Opposing & Supporting)
   
 14. Z

  ZABANGA Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wahuni hao wote na 6. kwani huyu MWAKI-GELLETE HAMJUI KWAMBA KWISHA!
   
 15. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,009
  Likes Received: 10,199
  Trophy Points: 280
  Ataacha kukaa kimya na yeye ni mchumia tumbo tu. Sasa hapo ndio amejua yeye si kitu mbele ya mafisadi. Tena inabidi akae kimya vinginevyo hata huo unaibu ataukosa wakati wa baraza litakapo badilishwa hivi karibuni na hamna kitu atafanya. Ukishakuwa chama cha wanafiki na wewe unakuwa mnafiki +
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kheee mbona kawa kama kibibi kizee cha TURIN......
   
 17. g

  greenstar JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama POLISI hawataki kuongea ukweli,ulitaka Mwakyembe aseme nini?Au ukienda MAHAKAMANI wakasema ushahidi wako hautoshelezi utafanya nini?
   
 18. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Sasa alichokuwa anamlalamikia Manumba ni nini wakati afya yake ni nzuri?? Alitaka kutafuta umaarufu wa kisiasa???
   
 19. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mleta maada hajatutendea haki, haiwezekani press conference aongee kwa kifupi hivyo, tuletee details zote.
   
 20. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Ameonywa huyo...akafie mbele. Kimya kimya utasikia alishavuta huyu. Mpiganaji ndani ya magamba, wapi bwana. ndiyo...kwisha, full stop!
   
Loading...