Picha: Mtoto wa mtoto

RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,963
2,014

Attachments

  • Mtoto_Singida.JPG
    Mtoto_Singida.JPG
    14 KB · Views: 233
Mama miaka 14 - Mtoto miaka 2 = mama alizaa akiwa na umri wa miaka 12!!!!! WOTE INABIDI WALELEWE!!!
Kwa namna moja ama nyingine, she's lucky! Angeweza kupoteza hata maisha kutokana na kushindwa ile mikikimikiki ya 'leba' maana hata uwe umezaa sana leba pain haizoeleki!!!!!

Lkn hivi huyu mama au alibakwa?!?!? au aliozwa kwa nguvu?!?!? au alianza mambo hayo mapema?!?!?!
 
baba wa huyo mtoto lazima atakua Lupango sasa sijui atalelewa na nani..mama omba omba kazi kweli
 
Mama miaka 14 - Mtoto miaka 2 = mama alizaa akiwa na umri wa miaka 12!!!!! WOTE INABIDI WALELEWE!!!
........
Lkn hivi huyu mama au alibakwa?!?!? au aliozwa kwa nguvu?!?!? au alianza mambo hayo mapema?!?!?!

Lazima alibakwa .... kisheria, katika umri wa miaka 12 hata akikubali mwenyewe haikubaliki, ni kubaka tu. Siku hizi minimum mvua 30 jela. Au labda kama aliyefanya naye mapenzi awe under 18....hapo sina uhakika inakuwaje!
 
iro rikubwa iro. rina miaka 14. tukandamizaga ya miaka 8. rroo. kirarikiwaga ridogo ndio rinakuwaga ritamu.
 
huyu jamaa chizi.....nadhani wahusika inabidi wamchungulie kidogo usawa wake!!
 
Kwa hesabu zangu naona kama huyu mtoto alipata ujauzito akiwa na miaka 11!!! cos 9months + 2years inakuwa almost 3years!!

Huyu mi nahisi alibakwa na aliyetenda hili kosa nahisi yuko zake gerezani anatumikia kifungo.... mtoto mdogo hamjui baba na atayakosa malezi ya baba mpaka baada ya miaka 30 ambapo huyu baba atakuwa na miaka zaidi ya 50!!!

Duh walisema kuwa uyaone na kweli nayaona sasa mtoto kuza na kulea mtoto mwenzake hii kali....
 
iri rijitu arina akiri. ririona miminimujinga. tazamaga wanakandamizaga ra miaka mitano. rroo. nakwambia iri ramiaka 14 rikubwa iro:

Lina Medina (born September 27, 1933) gave birth at the age of 5 years, 7 months and 21 days and is the youngest confirmed mother in medical history. http://en.wikipedia.org/wiki/Lina_Medina

iri ringine ririzaaga rina miaka 9. ririanzaga kukandamizagwa rini. siririkuwaga na miaka 7.

9-Year-Old Girl Gives Birth
News – RIO DE JANEIRO, Brazil — A 9-year-old gave birth to a baby girl in the western Amazon jungle, a pregnancy that authorities say may have been the result of rape, the National Indian Bureau said Friday. http://news.propeller.com/story/2006/07/08/9-year-old-girl-gives-birth/

siurinionaga miminimujinga. wanakandamizaga pado midogo. rroo.
 
Mkuu badili kidogo lugha ili iwe rahisi kueleweka....let you be understood easily. But you had a good point there.
 
Mama ana miaka 14, mtoto ana miaka 2; nani analea? Mtoto aweza kweli kumlea mtoto mwenzie?

http://majira.co.tz/majira.php

wWakuu naomba mtu mwenye data zake huyo binti anipatie nimejaribu kufungua majira halifunguki kuna watu binafsi toka nje huwa wanasaidia na watuwengi nilisha waunganisha wanasaidiwa.huyu mtoto jamani anastaili msaada kwahali yoyote ile kulinda uhai wa mtoto wake na binti mwenyewe huyu binti ni mdogo sana naomba wakuu tujitahidi kupata contact ili asaidiwe tuwe na uzalendo na uhakika JF ina watu wenye busara na hekima
 
Kwa hesabu zangu naona kama huyu mtoto alipata ujauzito akiwa na miaka 11!!! cos 9months + 2years inakuwa almost 3years!!

Huyu mi nahisi alibakwa na aliyetenda hili kosa nahisi yuko zake gerezani anatumikia kifungo.... mtoto mdogo hamjui baba na atayakosa malezi ya baba mpaka baada ya miaka 30 ambapo huyu baba atakuwa na miaka zaidi ya 50!!!

Duh walisema kuwa uyaone na kweli nayaona sasa mtoto kuza na kulea mtoto mwenzake hii kali....

mbona wazazi wa wa type hii wako wengi huko vijijini na hamna noma. Huu ndo umri wa ngono vijijini maana kama ni mwali alikwisha tolewa.
 
iro rikubwa iro. rina miaka 14. tukandamizaga ya miaka 8. rroo. kirarikiwaga ridogo ndio rinakuwaga ritamu.

una laana wewe,na ukichunguzwa vizuri ni ama ulibakwa na uanaume wako au ulitoa kwa hiari yako upande kipande cha ugali:coffee:
 
iro rikubwa iro. rina miaka 14. tukandamizaga ya miaka 8. rroo. kirarikiwaga ridogo ndio rinakuwaga ritamu.

Ndio sababu ya kuchagua hilo jina nini manake MABANGI.
Daaaaah.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom