Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Hawa watangazaji ingekuwa vizuri sana kama wanapata mtu anayewaangalia kwenye suala la mavazi ingekuwa vyema. Ukimwona dada huyu kola ya jaketi alilovaa imekaa vibaya na ndo mtangazaji yupo hewani akirusha kipindi. Mbaya zaidi kwenye majadiliano baada ya habari huyu dada anaonekana hajui mambo mengi si siasa si michezo.lakini analazimisha kuzungumza wakat wote huku akionesha waz kuwa hajui. Azam rekebishen jambo hili si zuri kwa TV ya Kimataifa.