Picha - Mshikamano vyama vya upinzani ungeharakisha mageuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - Mshikamano vyama vya upinzani ungeharakisha mageuzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jul 8, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Kati ya hawa wanne kama kila mmoja hana ubinafsi wa madaraka, wangeunganisha nguvu zamani sana mageuzi yangeshafanyika katika jamii ya watanzania kuodokana na mfumowa chama kimoja kuwa na nguvu ya ziada kuliko vyama vingine vya siasa.
   
 2. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo lao wengi ni makada wa ccm.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,851
  Likes Received: 83,275
  Trophy Points: 280

  Mkuu CS wengine hapo wanajifanya wapo upinzani lakini ukweli ni kwamba bado wapo magamba na watakuwa tayari kuishambulia CDM badala ya kuishambulia magamba ambao ndio chanzo cha matatizo mengi nchini.
   
 4. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kama unategemea hawa basi tumekwisha

  wote hawafai
   
 5. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama slaa anakwenda kusini na kuishambulia cuf na maalim seif kama mfujaji pesa ni kumbomoa mbona viongozi wa cuf hatujasikia kumponda slaa au mbowe. Naongelea viongozi si wanachama wa vyama hivi.
   
 6. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unachekesha... eti waungane... Wewe umewahi kusikia mpinzani wa chama kingine (MBATIA) anateuliwa na Rais wa chama tawala, sasa hapo ni kwa maslahi ya nani? funguka ..,... vyama vingi ni vibaraka wa CCM,
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo wachaga wanataka kuhodhi upinzani!
   
 8. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unasahau kuwa Wachagga ndiyo wanathutu kufanya mambo TZ hii.
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wachaga majambazi, wachumia tumbo! Hawafai kuongoza ukombozi wa kweli
   
 10. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hukuwai kumsikia Prof Lipumba akimfananisha Dk Slaa na Kichuguu na kwamba yeye ndiye Mlima Kilimanjaro?

  TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

  tumbiri@jamiiforums.com
   
 11. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  hapana, wachaga ni watu wenye determination na kila jambo. Angalia hapo ulipo na mkoani kwako( I am sure it is so!) biashara kubwa ni za akina nani? They are hard working and with high determination. Wanajitokeza kila nyanja halafu mnalalamika!!
   
 12. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,296
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  kweli ukombozi wa hii nchi kazi sana
   
 13. s

  slufay JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Uchaga wapi tena; wachaga ni wachapa kazi huwa hawana muda wa kucheza mdundiko wa kubebeshana ukimwi ili watu wahangaike nao" we utakuwa mcheza ngoma ndio wale waliouza kiwanja kariakoo ili wachezee mwali.
   
 14. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hii dhana ya wapinzani kuungana ni mufilisi na haina nguvu. Kwa sasa CCM ndiyo inahitaji kuungana na upinzani kwani wananchi wanajua wazi kuwa CCM imekosa legitimacy na sasa inatawala kwa kuwa tu inaweza toa amri ka polisi na jeshi. Zaidi ya hapo CCM si chama cha wananchi tena. Ni chama cha kijeshi na kipolisi, siku polisi na jeshi wakisema no CCM imefungasha.

  Ndiyo maana CCM inaongopa kuwashughulikia watekaji wa Dr Ulimboka kwani inawajua na iliwatuma, CCM inaogopa kuwawajibisha makamanda wanaoshirikiana na majambazi. Hii ni kwa sababu CCM inajua fika kuwa hiyo ndiyo block pekee ya power waliyobaki nayo. Wanaishi kwa mutual benefits.
   
Loading...