Picha: Msafara wa Prof. Safari watinga Petersburg

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
image.jpg image.jpg image.jpg Hii ni hoteli maarufu kwa mikutano ya kimataifa ......walikutana na ujumbe maalum kwa masaa kadhaa.
 
pamoja makamanda ni safari ya ukombozi kuelekea kwenye nchi ya ahadi.
chadema ni mpango wa allah.
 
Chadema wameenda kuomba misaada kwa wakoloni wa kijerumani. Chadema wanaaibisha Taifa kwa tabia yao ya kuomba omba
 
View attachment 208798View attachment 208798View attachment 208798Hii ni hoteli maarufu kwa mikutano ya kimataifa ......walikutana na ujumbe maalum kwa masaa kadhaa.
yaani kitu pekee ambacho huwa nawashangaa chadema wangu ni pale wanapomwamini prof safari, prof aliyekuwa cuf, prof mwanasheria asiyeshinda hata kesi moja mahakamani, prof mwanasheria ambaye amekosa kazi, hauziki vyuoni wala mahakamani hana wateja, mtu wa maandamano kuilaani israel na mwislam mwenye msimamo mkali kuliko waislam wanasheria wote Tanzania. huo uislam wake mimi simhukumu, ni imani yake, ila naongea kwasababu namfahamu kwa karibu, ni moja wapo wa watu wanaounga mkono type za kina ponda, na al shababu etc. amekosa kibarua hivi mnafikiri hapo anatafuta kutengeneza chama au? na ninyi chadema mmekosa watu?

aina ya watu kama prof safari, zito, yule mswahili wa mwaswa shibuda etc tupilia mbali huko bora wawaite hata wadini kuliko kushikilia hizi type za watu ambazo tunazijua kabisa zipo kuchuma tumbo na hata leo ccm wakiwapa mshiko wa kueleweka wanaweza kuwasaliti hadi hamtaamini macho yetu. NAOMBA MSIWAPE VYEO VYA JUU KWASABABU MTAKUJA KULIA SIKU MOJA HAPAHAPA.
 
Vipi wameshalipua bomu au bado, magogoni wanapumulia mashine maana misaada itazidi kuzuiwa
 
Vibaraka wa wazungu wanahangaika sana

laki si pesa;
Hawa vibaraka wa wazungu wanahangaika kuwafungua macho hao hao wazungu wako wanaotuletea misaada mnagawana kwa mifuko ya rambo na sandalusi, huku mkienda kule kwao kutibiwa tezi badala ya kuomba dawa zao mtuletee na sisi. Poleee pu.mbwa.fuuuuuu
 
yaani kitu pekee ambacho huwa nawashangaa chadema wangu ni pale wanapomwamini prof safari, prof aliyekuwa cuf, prof mwanasheria asiyeshinda hata kesi moja mahakamani, prof mwanasheria ambaye amekosa kazi, hauziki vyuoni wala mahakamani hana wateja, mtu wa maandamano kuilaani israel na mwislam mwenye msimamo mkali kuliko waislam wanasheria wote Tanzania. huo uislam wake mimi simhukumu, ni imani yake, ila naongea kwasababu namfahamu kwa karibu, ni moja wapo wa watu wanaounga mkono type za kina ponda, na al shababu etc. amekosa kibarua hivi mnafikiri hapo anatafuta kutengeneza chama au? na ninyi chadema mmekosa watu?

aina ya watu kama prof safari, zito, yule mswahili wa mwaswa shibuda etc tupilia mbali huko bora wawaite hata wadini kuliko kushikilia hizi type za watu ambazo tunazijua kabisa zipo kuchuma tumbo na hata leo ccm wakiwapa mshiko wa kueleweka wanaweza kuwasaliti hadi hamtaamini macho yetu. NAOMBA MSIWAPE VYEO VYA JUU KWASABABU MTAKUJA KULIA SIKU MOJA HAPAHAPA.

we mdini ......
 
Heri Wakoloni Wajerumani Mara Dufu Kuliko Majambazi Na Wang'oa Meno Wa Lumumba
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom