GRANDPUBA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 747
- 782
Mr Nice ameingia mkataba na Kampuni ya filamu ya nchini Denmark ya VAD Production kwa ajili ya kucheza movie, what I heard hiyo kampuni inamilikiwa na Mbongo mmoja anayeishi Denmark. Dah! legend wa "Takeu" kwenye Movie! hii kweli bonge ya struggle, but it's all good.