Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 118,690 141,341 May 25, 2022 #21 Mambo yake muachieni mwenyewe...
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 28,272 81,529 May 26, 2022 #22 Smart911 said: Mambo yake muachieni mwenyewe... Click to expand... Kukumbushwa ulikotoka siyo dhambi! Sisi binadamu tuna kawaida ya kujisahau tupatapo mali/madaraka. Siku zote ni vizuri tukaishi maisha ya unyenyekevu.
Smart911 said: Mambo yake muachieni mwenyewe... Click to expand... Kukumbushwa ulikotoka siyo dhambi! Sisi binadamu tuna kawaida ya kujisahau tupatapo mali/madaraka. Siku zote ni vizuri tukaishi maisha ya unyenyekevu.
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Sep 30, 2013 11,610 21,961 May 26, 2022 #23 Alieshiba hamjui mwenye njaa,hata nape na marope wanatuona wazembe na wavivu tunavyolalamikia wizi wa bando na bei ya mafuta
Alieshiba hamjui mwenye njaa,hata nape na marope wanatuona wazembe na wavivu tunavyolalamikia wizi wa bando na bei ya mafuta
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 33,587 53,572 Jun 6, 2022 #25 Mimi nipo bize na dental formula yake tu.Ee nindo yake mbii!Na meno?Hiiiii!