Picha: Kabla Patro Katambi hajahama CHADEMA

Ettore Bugatti

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
4,125
8,231
Screenshot_20220521-100903.png
 
Kwani ni raia wa wapi kwa asili? Sio Msukuma wa Shinyanga kweli huyu?
Ni msukuma wa Shinyanga kazaliwa Kijiji kinaitwa kolandoto,ndo alipoungulia hayo meno yake baba yake alikuwa clinical officer hapo kolandoto hosp kabla ya kuhamishiwa mkula hospital ya mission iliyoko Baridi.
 
Back
Top Bottom