wang'ambo
Senior Member
- Nov 29, 2015
- 113
- 27
Ni mwanaume mmoja jina halikuweza kupatikana maramoja amenusa kifo akiwa chakali (kalewa) muda mfupi uliopita majira ya saa12 jioni leo December 01 katika H/mji Kahama alipokuwa akijaribu kuvuka barabara kuu akitokea upande wapili bila kuchukua tahadhari.