Picha: Mkesha wa Mwenge wa uhuru kijiji cha Nkinga Igunga

hebu angalieni hapa,
huyu ni mkuu wa mkoa fulani akiupokea mwenge !!
Yaani mkuu wa mkoa hana kazi mpaka anapata muda wa kupokea mwenge !!
attachment.php

may the good lord have mercy on us!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kugeuzia kofia nyuma na mwenge kuna uhusiano gani au ndo mashart ya mwenge
 
Back
Top Bottom