Sawa ni vya kupita lakini muulize mbona havipitii kwako..Maskini wa Kiswahili na Kiafrika utasikia "hivi vyote ni vya kupita tu!"
Onesha mfanoNadhani uzi ungekuwa na tija kila kama mmoja ange-share mandhari ya nyumba anayoishi sasa au anayotamani kuimiliki ili kuwatia watu wivu wa maendeleo sasa nyie wakuu mnaweka picha za nyumba za Mengi na Manji wangapi tunaziweza?
Mbona madirisha machache,ina hewa kweliHiyo nayo nzuri! Picha zake nyingine hizi hapa;
View attachment 1149936
View attachment 1149937
View attachment 1149942
Hewa ipo, ya kutosha kabisa!Mbona madirisha machache,ina hewa kweli
Kwakeli design ya hayo ya kwanza imenihamasisha kuandika chochote hapa.
Kiukweli mara nyingi 'Umasikini' uambatana na 'Ujinga' ndani yake. Mtu kujiona ni haki yake ama 'Sifa' kuwa Masikini.Maskini wa Kiswahili na Kiafrika utasikia "hivi vyote ni vya kupita tu!"
Sawa kabisa!Pia msisahau nyumba ni choo! 🙄
Na mimi nimechangia mada
SafiHewa ipo, ya kutosha kabisa!