Picha: Mikutano na Dr.slaa ni Taabani huko Tabora

Hali ya kisiasa ya Slaa inaendelea kuwa Doro sana kutokana na kila iitwapo leo,Watu wanazidi kumpuuzia hata kususia kufika kwenye mikutano yake.
Tazama picha hizi namna watu walivyomwacha solemba Dr.slaa kwenye mikutano huko Tabora.Pole sana Dr.slaa ni dhambi za kuua vipaji vya wanasiasa wadogo ndio Inakutafuna.a

999795_207880792730478_644585225_n.jpg
579710_207879846063906_1865747991_n.jpg

1466244_207880679397156_1483724118_n.jpg
1465236_383775048434659_1371015837_n.jpg

We leta danganya toto tu hapa ila ukweli unaujua. Hakuna kama Chadema kwa sasa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kijijini ulitaka watu wangapi? hao hao wanatosha. Mtu mmoja aliyejitambua ni bora kuliko watu 100 walio pumbazwa na ccm
 
Mikutano ya ccm kule mby walikuwa wanakodi wanachama toka wilaya zngne il angalau waonekane weng nani hajui hilo??! Cdm ni kama tanu miaka ya 50s wakat wananch wakidai uhuru huku babu yangu akiongoza harakat za people wa ileje... Rest in peace my grandfaza... Bt uhuru mlopigania jamaa wameuweka mfukoni they do whatever thy dream wth their wife in their beds... kudadeki ccm
 
Mikutano ya ccm kule mby walikuwa wanakodi wanachama toka wilaya zngne il angalau waonekane weng nani hajui hilo??! Cdm ni kama tanu miaka ya 50s wakat wananch wakidai uhuru huku babu yangu akiongoza harakat za people wa ileje... Rest in peace my grandfaza... Bt uhuru mlopigania jamaa wameuweka mfukoni they do whatever thy dream wth their wife in their beds... kudadeki
 
Niseme tu kwamba ccm msitake kutuletea ngojera nyingi mkubali msikubali asilimia 99% ya watanzania hawaipendi ccm kwa namna ccm ilivyo liangamiza taifa letu. CCM ni janga la kitaifa. pengine ili watanzania waweze walau kukubaliana na chochote mnachosema chukueni hatua kali kukomesha Ufisadi/Ujangili/Ujambazi wa ardhi/wizi wa fedha/utoroshaji wa wanyama/mauaji ya raia nk matendo haya yanafanywa na ccm. Hakuna mtu anayeweza kukubali wala kusikiliza maneno ya kada yeyete wa ccm maana kila likada la ccm lipo kwa ajili ya ujangili/wizi/ujambazi/kuua/kupora ardhi kama kule Mwanza liccm moja limegongwa kisawasawa kwa ujambazi wa ardhi/ Mabadiliko yatakayoleta heshima ktk utawala hayaepukiki kwa lolote lile hata kama mtaleta propaganda nyingi ni bure tu. Hao watu wanatosha wanasubili tu kuiangamiza jambazi/fisadi ccm 2015
Nitumie kwanjia ya Three Signatories wa pale Ufipa street.Kubwa unaona namna Mzee anavyoporomoka kwa kasi?
 
Niseme tu kwamba ccm msitake kutuletea ngojera nyingi mkubali msikubali asilimia 99% ya watanzania hawaipendi ccm kwa namna ccm ilivyo liangamiza taifa letu. CCM ni janga la kitaifa. pengine ili watanzania waweze walau kukubaliana na chochote mnachosema chukueni hatua kali kukomesha Ufisadi/Ujangili/Ujambazi wa ardhi/wizi wa fedha/utoroshaji wa wanyama/mauaji ya raia nk matendo haya yanafanywa na ccm. Hakuna mtu anayeweza kukubali wala kusikiliza maneno ya kada yeyete wa ccm maana kila likada la ccm lipo kwa ajili ya ujangili/wizi/ujambazi/kuua/kupora ardhi kama kule Mwanza liccm moja limegongwa kisawasawa kwa ujambazi wa ardhi/ Mabadiliko yatakayoleta heshima ktk utawala hayaepukiki kwa lolote lile hata kama mtaleta propaganda nyingi ni bure tu. Hao watu wanatosha wanasubili tu kuiangamiza jambazi/fisadi ccm 2015
 
ha ha ha ha haaaaaaa anatia huruma mpaka raha

mACCM yameyataka yenyewe....nadhani mpaka hapo wataendelea kucheza mziki wa chadema

kwani ulitaka ajaze kama FIESTA

Washaanza kufuria

Back
Top Bottom