Picha: Mikutano na Dr.slaa ni Taabani huko Tabora

Taswira

JF-Expert Member
Sep 23, 2012
1,198
447
Hali ya kisiasa ya Slaa inaendelea kuwa Doro sana kutokana na kila iitwapo leo,Watu wanazidi kumpuuzia hata kususia kufika kwenye mikutano yake.
Tazama picha hizi namna watu walivyomwacha solemba Dr.slaa kwenye mikutano huko Tabora.Pole sana Dr.slaa ni dhambi za kuua vipaji vya wanasiasa wadogo ndio Inakutafuna.a

999795_207880792730478_644585225_n.jpg
579710_207879846063906_1865747991_n.jpg

1466244_207880679397156_1483724118_n.jpg
1465236_383775048434659_1371015837_n.jpg

Hata hao waliokuja walikuwa wakimshangaa tu. Watoto kawapotezea muda wangecheza ready yao.Mburura wa bavicha huwezi kuwaona hapa na wakicha watakwambia picha za kuchorwa hizo!!!!!!!!!!Ahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nionavyo mimi hyo picha ya kutengeneza haina mashiko kabisa kwa watu wenye uwezo wa kufikiria kiakili hvyo tusiamini katika hyo picha ni propaganda tu.
 
Nionavyo mimi hyo picha ya kutengeneza haina mashiko kabisa kwa watu wenye uwezo wa kufikiria kiakili hvyo tusiamini katika hyo picha ni propaganda tu.

Ni kawaida sana nyie MM kulalamika hata kwenye ukweli wa wazi wazi,Imetengezwa???Hii ndio hali halisi ya kuchuja kwa slaa kisiasa
 
Mmmmmm......mzee apumzike tu awaachie kina Lissu

Hapa siyo Tabora picha ya kutengenezwa

Hata hao waliokuja walikuwa wakimshangaa tu. Watoto kawapotezea muda wangecheza ready yao.Mburura wa bavicha huwezi kuwaona hapa na wakicha watakwambia picha za kuchorwa hizo!!!!!!!!!!Ahaaaaaaaaaaaaaaaa

Taswira unastahili buku 14 aisee... I can see your working double shift...

attachment.php
 
Back
Top Bottom