PICHA: Miili Ya Askari Wa JWTZ Waliokufa Nchini Sudani Yaagwa Leo

Huyu Mwamnyange hizo pete kubwa za nini au nazo ni nishani za mikononi!!!?????
Katika habari hii nzima, uliloliona la msingi ni pete za mwamunyange!??aisee!

Hebu rudi kwenye heading, then jishauri kama umeielewa vizuri, otherwise anzisha thread kuhusu mapete unayoyasema
 
RIP makamanda. Lakini nimekua najiuliza kwanini askari wetu wasipelekwe kulinda amani ktk maeneo ambayo tuna maslahi ya kiuchumi na kiusalama! Sioni umuhimu wa vijana wetu kuwepo Sudan,ukiondoa maslahi ya kisiasa na pesa kwa askari wanaokwenda ktk hiyo mission!
 
RIP Mashujaa wetu. Wamekufa wakilitumikia Taifa lao maana begi walizofaa darful zilikuwa na nembo ya Taifa na Jeshi letu.
 
Moshe Dayan, hizo black hats, ina maana hawa wote walikuwa marine comandos? What a loss! Na kulikuwa na mafuriko yaliyotokea bila kutegemewa?
 
Last edited by a moderator:
RIP Commanders....The Almight One will forgive all of ua mischiefs!!
 
Ndio maana kwa nchi za wenzetu kwenye hizi operations wanapeleka 'SEAL' solders, kuepusha vifo vya kipuuzu kama hivi...
 
Ndio maana kwa nchi za wenzetu kwenye hizi operations wanapeleka 'SEAL' solders, kuepusha vifo vya kipuuzu kama hivi...

Hao SEAL wapo nchi zote duniani?

Pia, hujawahi kuskia commando anakufa?

Unajua tofauti ya operation na mission!?

je, ushauliza namna vifo vilivyotokea? Na
ilikua usiku au mchana? Maana watu wengine ni mahiri kudandia threads alimradi tu u-post comment,

upuuzi kutoka kwa mpuuzi.., shenzi kabisa.
 
R.I.P Makamanda sote njia ni hiyo nyie mmetangulia tu, mpumzike kwa amani.
 
Askar wetu bongo ******* wote, wanajua kuua raia wasio na hatia tu lakn hawana mbinu za kivita, we imagne walikuwa askar 5 Wakafa wetu 3 tu, wale wawil walpona stupid kwel anyway R.I.P
 
RIP fallen heroes. Ila ilitakiwa mpewe usafiri wenye heshima (angalau ktk safari yenu hii ya mwisho), siyo kupakiwa kwenye lori pamoja na mapipa.
 
Kwani tunao wa aina moja tu?
Ninachofahamu ni kwamba makomando (tena nafikiri, ndiyo special forces wtu pia) wa Tanzania uvaa maroon beret. Sasa chifu, kama una habari nyingine tofauti na hiyo, karibu unifahamishe.
 
Kikosi cha Tanzania huko Sudan kinasifika sana watu makini na watenda haki.
Hata Polisi wetu wametuwakilisha vizuri sana, wameacha sifa zuri kabisa. Nawashangaa wanaofanya viroja nchini kwenye mikutano ya chama kimoja tu.
Labda kuna Polisi wa kitengo cha CCM nini?
 
RIP fallen heroes. Ila ilitakiwa mpewe usafiri wenye heshima (angalau ktk safari yenu hii ya mwisho), siyo kupakiwa kwenye lori pamoja na mapipa.

Mbona wameheshímiwa,jeshi hutoa usafiri wa kusafirisha mwili,hayo mapipa unayoyaona ni ya mafuta,ukiona hivyo ujue safari ni mbali na jeshi hubeba mafuta yao wenyewe,na kwa gari hilo inaelekea kuna ndugu/watu wengi wanaoambatana nao.
 
Back
Top Bottom