Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjU
IMG_20211203_112834.jpg
IMG_20211203_112841.jpg
 
With due respect...hebu tazama walivyonona na manyama uzembe na hayo majezi ya Chama alafu tazama hayo mazingira ya elimu ya hao watoto...
Hiki ni kikundi cha wezi hapo Morogoro...very Sad
 
Sehemu ambayo CCM wanaibia hela
Ni kwenye ziara na uzinduzi Nina uhakika ikisitishwa ziara moja ya kiongozi mmoja. na hiyo hela ya hela ikapelekwa kujenga hiyo Shule ingetosha kabisa kuijenga hiyo Shule kwa viwango.
 
Back
Top Bottom