Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

Msafara wa magari wanayotumia hapo kwenda kukagua hyo shule utakuta inafikia billion 1
Kuijenga hyo shule utakuta ni mln 200 -300
This is africa ,matatizo hayawi solved

Ova
 
Miaka sitini ya Uhuru bado mnajisifia kuwa tumejenga madarasa na hospital kadhaa na mabarabara,mnajidsnganya hata maji na umeme vimewashinda kuvimaliza,Sasa mtakuja na gia ipi?
 
Back
Top Bottom