Picha: mh. Sugu alipokutana na baraza la wazee wa CHADEMA - Mbeya mjini

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Mbunge Joseph Mbilinyi "SUGU" akitoa taarifa ya utekelezaji wa kazi zake kwa baraza la wazee wa CHADEMA Mbeya mjini aliokutana nao leo tarehe 25/09/2012 jijini Mbeya​
Wazee wakimsikiliza Mbunge.....​
Wazee walipata nafasi ya kutoa maoni na kuuliza maswali...​
Mzee Mwaigomole akitoa nasaha zake kwa Mbunge​
Mwenyekiti wa baraza la wazee Mbeya mjini Mzee Mwakagenda akifunga mkutano wa wazee na Mbunge​
Mbunge akiagana na wazee ikiwa tayari ni usiku​
 
Hongera kamanda SUGU kwa kuonyesha ushirikiano wako mzuri kwa WAZEE wa MBEYA. Pigana kutetea wanyonge, kamwe usilewe sifa. UTAIFA KWANZA~ CHAMA BAADAYE
 
Wazee ni dawa katika maisha yetu ya kila siku,hongera Sugu kwa kulitambua hilo,usiishie hapo tu kutana na makundi yote.
 
Wazee ni dawa katika maisha yetu ya kila siku,hongera Sugu kwa kulitambua hilo,usiishie hapo tu kutana na makundi yote.

Ndugu,

Ni kweli wazee ni dawa. Namwamini Sugu, nawaamini wana Mbeya kama ninavyowaamini wana Arusha katika suala la mabadiliko ya kulikomboa taifa (TZ)
 
Kura yangu inanipa matumaini kwako Sugu! Endelea zaidi na Mungu akutangulie! Mbeya City is my resort!
 
Sugu ni kati ya wabunge walio karibu sana na wananchi wake. Viva kamanda.
 
Back
Top Bottom