Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara,Mh.Mwigulu Nchemba akisalimiana na moja ya kikundi cha akina mama kata ya Makuyuni wilayani Monduli kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani. |
Hii ni sehemu tu ya mamia ya wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano huo wa hadhara.Picha imechukuliwa wakati msafara unapokelewa wa Naibu katibu mkuu Mh.Mwigulu Nchemba |
Kada wa CCM Bi.Juliana Shonza amewaomba wananchi wa MAKUYUNI kumpigia kura kwa wingi mgombea wa CCM kwasbabu ndicho chama chenye kuleta maendeleo kwa wananchi. |