PICHA:Mh:Mwigulu Nchemba atua Monduli kwenye kampeni za UCHAGUZI,Wamaasai waahidi ushindi wakishindo

Sasa huo ni umati au kikundi cha watu? Jamaa lilivyo kubwa jinga limeenda kukampeni kwenye SACCOS ya chama huko Monduli. Safari hii hawajaandamana na yule taahira mwenzake mtoa lugha chafu majukwaani. Eti anajifanya Che Guevara. Midevu utafikiri Inzi wamedandia mzoga.

​Mjinga, na mtu asiyekuwa na hoja, utamtambua kwa matusi yako, anaposhindwa kujitetea au akiona anashindwa.
 
Mkuu nasikia uvccm ni kubwa sana wote wanamajukumu kwa sababu hawa bado hawajapangiwa majukumu ndiyo maana wanapata emple time ya kwenda majukwaani.

Ni kweli mkuu lakini nikusahihishe kidogo hawa vijana wameshapewa kitengo pale uvccm nadhani wakimakiza ziara ya chaguzi wataweka wazi.Na hao ni baadhi ya image ya vijana ccm ,wakionekana hao imeonekana uvccm .
Wanaolalamika ni wafuasi wa babu wivu unawasumbua.
 
Ni kweli mkuu lakini nikusahihishe kidogo hawa vijana wameshapewa kitengo pale uvccm nadhani wakimakiza ziara ya chaguzi wataweka wazi.Na hao ni baadhi ya image ya vijana ccm ,wakionekana hao imeonekana uvccm .
Wanaolalamika ni wafuasi wa babu wivu unawasumbua.

uvccm ipo? ccm imeoza kweli,hawa magashi ndo tegemeo lenu?
 
CCM wakileta pesa wananchi wanapokea kwasababu kura ni siri.
Mtela Mwampamba kwenye picha kuanzia wewe hadi mgombea wenu mmekuwa na sura za unyonge na kukata tamaa,
jikazeni kisabuni kwasababu mmeyataka wenyewe.

Tumeanza na Mungu, Tunamaliza na Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Kweli hii ni nomi! Kwa Arusha kupata hao watu 50 ccm lazima mjisifu,
hamuoni kwamba hata mzee wa ukoo akiitisha kikao jupata watu kuliko hao hapo kwenye mkutano wenu?
Ccm kwiiiiiishineeeeeee
 
Ni kweli mkuu lakini nikusahihishe kidogo hawa vijana wameshapewa kitengo pale uvccm nadhani wakimakiza ziara ya chaguzi wataweka wazi.Na hao ni baadhi ya image ya vijana ccm ,wakionekana hao imeonekana uvccm .
Wanaolalamika ni wafuasi wa babu wivu unawasumbua.

baada ya uchaguzi huu hutowasikia tena hawa wasaliti waliofukuzwa CHADEMA kwasababu imedhibitika kwamba mwenyekiti wa uvccm na makada wengine ndani ya uvccm na ccm kwa ujumla wanapinga sana Mtela Mwampamba na shosti yake kupewa kipaumbele while wamejiunga na ccm juzi tu na pia wanalalamikiwa kutokuwa na faida yoyote kisiasa kinyume na ilivyotarajiwa na Mwigulu Nchemba.
 
Nyie vijana majungu mtayaacha lini, wanaume wazima mnaongea pumbaaaa. Viroba hivyo.
 
Naomba kufahamishwa. Ni kwanini safari karibu zote za Mwigulu ni lazima Juliana Shonza na Mwampamba wawepo? Ina maana hakuna vijana wengine CCM zaidi ya hao waliofukuzwa Chadema? Yaani ina maana vijana wengine wote hawajui siasa za majukwaani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hata mimi nashangazwa sana na jambo hili. Hivi ni kweli kwamba kule UVCCM hakuna vijana wa kufanya kazi kama ya akina Mtela, hadi kufikia kiasi cha kushindwa kuwatumia hao badala yake watumike akina Shonza na Mtela? Ina maana kweli hakuna wabunge makini vijana ambao wanaweza kushiriki hizi kampeni. Kumbukeni safari hizi zina ulaji, sasa kama wale waliokijenga chama siku zote hawakumbuki hata kwenye ulaji kama huu badala yake wanakuja kupewa akina Shonza waliofukuzwa chadema hii inaweza kuwa na tafsiri gani kwa hao wengine ambao ni wanachama wakongwe?
 
​Mjinga, na mtu asiyekuwa na hoja, utamtambua kwa matusi yako, anaposhindwa kujitetea au akiona anashindwa.

Tusi sasa liko wapi hapo wakati ni ukweli mtupu. Hapo unapiga sarakasi sebuleni huku umevaa taulo. Jipe moyo muhathirika.
 
Kuna binadamu wengine hata akili zao hazina akili hivi kwa kutumia ka kundi ka dogo kama haka unaweza kuja kuleta uzi hapa jamvini eti wamasai wameahidi ushindi wa kishindo pu.....vu. Halafu kumbe hilo ndilo li mte... mw....pambavu.linaonekana ni jitu la ajabu nilikuwa nalisikia tu kumbe ho....less
mkuu umenivunja mbavu vibaya.... kwikwikwi... teh teh teh teh.....
 
Alivyokuwa anampiga picha babu.muasi wa dini na ndoa yake mbona hamkumsema?hahaaa amini amini nawaambia mtasema yote mwaka huu mpaka mtatapika nyongo
......Lakin ushauri wangu auzingatie atafute kazi afanye alipe kodi kama vijana wenzake
 
Hivi wewe Mtela ni katibu mwenezi wa mwigulu au una nafasi gani hasa huko uliko sasa? Nitashukuru kama utanifahamisha mkuu ukisharudi tena hapa kwenye uzi wako.

Mtela lazima atakuwa partner wa Mwigulu, si unajua Mwigulu naye ni Liberal?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom