Picha: Mh. Ezekiel Wenje alivyotikisa Manispaa ya Musoma

MJITA HALISI 176

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
537
0
Ni katika ufunguzi wa kampeini za uchaguzi wa serikali za mitaa.

Maelfu ya watu walijitokeza kumpokea maeneo ya stendi ya Mabasi yaendayo mikoani-bweri hadi mahala mkutano ulikofanyikia katika viwanja vya shule year secondary-Mara, nje kidogo ya mji wa Musoma.

attachment.php

Kwa ufupi tu ni kwamba hapa musoma CCM imeshakufa.
 
Attachments

  • 1417760445761.jpg
    File size
    79.9 KB
    Views
    1,799
  • Thanks
Reactions: rpg

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,606
2,000
Muache kuja kila siku hapa na picha zenu zisizo na maana wakati kwenye ishu kubwa kama uchaguzi wa mitaat mnakihujumu chama,sahivi tunataka tujue kutoka kwenu mlipo ni kwa kiasi gani mmeweza kusimamisha wagombea kila eneo husika na kama sivyo mtwambie ni kwanini haikuwa hivyo wakati mkutano mkuu uliagiza ..sahivi siyo mda wa picha samahani sana,ziweke kwanza utatupa tukizihitaji mda ukifika
 
Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
195
Ni katika ufunguzi wa kampeini za uchaguzi wa serikali za mitaa.

Maelfu ya watu walijitokeza kumpokea maeneo ya stendi ya Mabasi yaendayo mikoani-bweri hadi mahala mkutano ulikofanyikia katika viwanja vya shule year secondary-Mara, nje kidogo ya mji wa Musoma.

attachment.php

Kwa ufupi tu ni kwamba hapa musoma CCM imeshakufa.
Aisee Huyu Braza Wenje, Namkubali kwa zote.........
Sema tu problème yake kubwa .......Viroba...
 
kajansi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
485
0
Muache kuja kila siku hapa na picha zenu zisizo na maana wakati kwenye ishu kubwa kama uchaguzi wa mitaat mnakihujumu chama,sahivi tunataka tujue kutoka kwenu mlipo ni kwa kiasi gani mmeweza kusimamisha wagombea kila eneo husika na kama sivyo mtwambie ni kwanini haikuwa hivyo wakati mkutano mkuu uliagiza ..sahivi siyo mda wa picha samahani sana,ziweke kwanza utatupa tukizihitaji mda ukifika

Haikuhusu! au Rubisi ya asubuhi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom