PICHA: Mgonjwa mahututi afunga ndoa na mpenzi wake akiwa hospitalini "mapenzi ni zaidi ya maneno"

Na huyu alieolewa na mbwa.
11.jpg
Wonders shall never end

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na baada ya hapo hakumaliza wiki tatu mwenyezi MUNGU akamuuita niliumia sana hata baada ya mambo hilo sikutamani kuoa tena nilikaa miaka minne nikiwa mtoto mmoja wa kiume ktk familia wazazi walipiga kelele nipe ikawa ugonvi na wazazi ikabidi nioe nilibahatika kupata watoto wawili lkn baada ya kuwa na watoto wife alianza ulevi as ajabu sana lkn mwisho aliondoka na kuniachia watoto mmoja akiwa na umri wa miaka 2.7 na mwingine miaka 4.5 lkn namushukuru MUNGU ss wamekuwa kwani wanasoma na sina mpango tena we kuoa nawaogopa sana hawa watu wanaoitwa wanawake alibeba kila kitu na kutuacha patupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu. Hakika umepitia mitihani kweli kweli...
 
Nilisikia ndoa inakamilishwa na tendo baada ya kufungwa sasa hii imekaaje?
Mungu ni mkubwa kuliko unavyofikiri, yeye ndo ameshikilia pumzi yako na kila binadamu hapa duniani...
nigeria majuzi mwanadada aliondolewa uzazi kabisa lakini baada ya kipindi fulani amepata ujauzito baada ya maombi.
 
Mungu ni mkubwa kuliko unavyofikiri, yeye ndo ameshikilia pumzi yako na kila binadamu hapa duniani...
nigeria majuzi mwanadada aliondolewa uzazi kabisa lakini baada ya kipindi fulani amepata ujauzito baada ya maombi.
Sometimes dini zinatufanya waafrika hata waliofuta ujinga kuwa wajinga zaidi ya hata wasiojua kusoma na kuandika
 
Back
Top Bottom