WamekusikiaChonde chonde CHADEMA achaneni na hao WASALITI,2015 mliwaamini kumbe walikuwa ni Nyoka CUF ya Lipumba na NCCR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi namba zao huwa wanazitoa wapi..?Ndio mwanzo wa maridhiano. Hata Trump kampigia simu naibu Kamanda mkuu wa Taliban jana.