Kwasababu uwezo wetu wa kuona mambo unaishia kwenye matumbo yetu!Duh jamaa anatuhurumia lakini watz ndio kwanzaaa, imagine nchi za wenzetu wameshaona hii ni "crisis" halafu sie tunachekelea tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahhaaaa