PICHA: Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje (CHADEMA) alivyotikisa jiji la Mwanza jana

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wakuu

Nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na nyomi hiyo hapo jana pale pamba road ikimusindikiza wenje toka mara baada ya kuhutubia pale uwanja wa sahara
 

Attachments

  • IMG00005-20110909-1822.jpg
    IMG00005-20110909-1822.jpg
    408.5 KB · Views: 1,084
  • IMG00004-20110909-1821.jpg
    IMG00004-20110909-1821.jpg
    102.1 KB · Views: 631
  • IMG00006-20110909-1822.jpg
    IMG00006-20110909-1822.jpg
    438.3 KB · Views: 520
  • IMG00007-20110909-1822.jpg
    IMG00007-20110909-1822.jpg
    42.7 KB · Views: 423
  • IMG00008-20110909-1822.jpg
    IMG00008-20110909-1822.jpg
    415 KB · Views: 383
  • IMG00009-20110909-1822.jpg
    IMG00009-20110909-1822.jpg
    405.2 KB · Views: 336
  • IMG00010-20110909-1822.jpg
    IMG00010-20110909-1822.jpg
    419.7 KB · Views: 275
  • IMG00011-20110909-1823.jpg
    IMG00011-20110909-1823.jpg
    388.7 KB · Views: 244
  • IMG00012-20110909-1823.jpg
    IMG00012-20110909-1823.jpg
    105.2 KB · Views: 336
  • IMG00013-20110909-1823.jpg
    IMG00013-20110909-1823.jpg
    94.4 KB · Views: 367
wakuu picha haziko poa sana maana nilikuwa mbali kidogo,lakini ukiangalia kwa makini utamuona wenje akiwa kwenye gari la wazi akipunga mikono
 
na mm nilikuwepo.Aisee ilikuwa full shangwe.Aisee Wenje anapendwa bwana.Nikipata muda ntawawekea Audio.viva CHADEMA viva Wenje!!!!!
 
Sasa hapo ni wenje tu peke yake,pata picha angekuwepo Dr.slaa,Mbowe na makamanda wengine,ingekuaje?
 
tunashukuru sana kwa picha japo ingekuwa bomba zaidi ungetupatia wakati mkutano unaendelea
 
Jamaa alipotoka hapo mwanza town alikuja sengerema akawasha moto vibaya na akaahadi wananchi wa sengerema kutuwakilishia matatizo maana sauti za wana wa esngerema hazifikishwi vyema mjengoni,Ngereja awakumbuki kwa umeme pamolja na kuwa yeye ni anatokea vijiji vya huko,watu wana msubili 2015 wamuhukumu.i
 
Hawa ndio mawaziri wetu makini wa baadae katika Serikali ya Chadema 2015.Watanzania tuendelee kuwaunga mkono katika kuutokomeza ufisadi Tanzania.
 
Picha za mwaka jana kwenye kampeni mnatuletea leo!
Kweli CDM mmeishiwa akili
 
Picha za mwaka jana kwenye kampeni mnatuletea leo!
Kweli CDM mmeishiwa akili


Kama vipi piga simu star tv wa kujuze maana walikuwepo jana na endelea kubisha cdm ndo wanachanja mbuga.
 
Tunashukuru kwa picha Kamanda we2! Na ndiyo maana nawaaminia WanaJF popote walipo wanaweza wakaunga ukawa kt ya kundi lengwa mahala penyewe.
 
Kama vipi piga simu star tv wa kujuze maana walikuwepo jana na endelea kubisha cdm ndo wanachanja mbuga.
Kuchana mbuga kwa kuandamana?
Hebu msijiaibishe! Unaweza toa faida za hayo maandamano?
Sasa hivi maadamano ya CDM yanaonekana kama tu michezo ya kuigiza!
 
Yani wa2 wengine cjui wanawaza kwa ku2mia nini. SOMA ALAMA ZA NYAKATI WE KILAZA.
Kila siku mmnandamana!
Mnapoteza nguvu zenu bure.mnaishia kuungua jua tu.Viongozi wenu wanajilipa 600,000! Poor CDM fans!
 
Back
Top Bottom