PICHA: Mbunge Steven Ngonyani akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM, Maulid Mtulia

e5e7c226e942d929f6d78ff7b90a66c4.jpg
Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya People Kigogo jijini Dar es salaam jana.

Chanzo: Mwananchi
Huyu jamaa si ni profesa wa ndumba!? Kwani hizo hirizi hazipumui hadi apige magoti kuomba kura? Si na atamke neno tu afu inakuwa!!!
 
Korogwe vijijin tunakero anazikimbia huku anaenda kupiga magoti dar es salaam aende kijijin akaweke miundombinu ya bara bara na maji katk kata zake za huko bungu,mlungui n.k sio kutudhalilisha kwa kupiga magoti wakati wana korogwe vijijin hajawai kuwapigia goti shubamiiit Stephen Ngonyani hatutaki mambo haya njoo korogwe sio kutudhalilisha huko
 
Yaani wametudhalilisha kupita kiasi. Utafikiri wameambiana wafanye nini, kisa kura za kinafiki. Tuwasubiri 2020 tuwaone hawa.
 
FB_IMG_1518591890121.jpg

Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgomea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa wakampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya People Kigogo jijini Dar es Salaam jana.

CCM wana hali mbaya kuliko tunavyofikiri. Gia zote zimepigwa imebaki ya Magufuli kuja kupiga pushap pale Kinondoni
 
Back
Top Bottom