shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,510
kuna kipindi tanga uyu jamaa alikua noma,kiboko ya wachawi,ukienda mahali anatoa tamko wenye irizi na madumba wote wayachome kabla hajawachachafyaSi alikuwa mtoa ushawi huyu?
kuna kipindi tanga uyu jamaa alikua noma,kiboko ya wachawi,ukienda mahali anatoa tamko wenye irizi na madumba wote wayachome kabla hajawachachafyaSi alikuwa mtoa ushawi huyu?
Ndio huyu huyu wa push up au kuna mwingine?huyu ndiyo mganga aliyewapa CCM masharti ya kupiga magoti kuomba kura??
Heshima na unyenyekevu.HIVI MAGOTI YA NN NA WAKATI UCHUMI UMEIMARIKA TUMEKUWA WA MFANO AFRIKA
Mkurugenzi si yupo?Kinondoni hali ni mbaya sana kwa Mtulia na ccm yake wanapumulia mashine ile mbaya
Unajuaje km asingegombea kama wasingesusia?Lazaro Nyalandu alipojiuzulu ubunge japokuwa alijiunga na team Ufipa lakini hakutaka kuwapa adhabu akina Msigwa na Mdee kwenda kupiga magoti na kugalagala majukwaani kumuombea kura. Mwanaume anapopiga magoti kuomba kitu ni ishara ya majuto na kujiona " usiyestahili". Hivyo pamoja na mapungufu yote ya Nyalandu lakini katika hili la kutogombea tena Mungu alimpa macho ya rohoni, nampongeza. Ni hayo machache, ahsante!
Kuna tatizo gani kupiga magoti.Hawa wabunge wa mkoa wa Tanga ni shida kweli-Maji Marefu na Ummy wameshapiga magoti kuomba kura. Sijui nani anafuata.
Wamejiandaa.Wao wasubili kutumia vyombo vya dola kwakuwa ndani ya box wanajua kuwa ukipanda mabovu lazima uvune mabovu tutarajie uvunjifu wa amani huko muda utatwambia ukifika
Kwani hiyo si ni kawaida yao wajiandae kisaikolojia tu kumnunia mtulia bungeni.Policcm na NEC wasipocheza rafu siha/kino yanaondoka saa nne asubuhi.
Kwani wanahitaji kura? Mkurugenzi anatosha.Mimi sielewi sijui ni ujinga wangu ama VP? Kama kuna mwenye akili timamu atakayeweza kuwapigia kura hao nzi wa kijani
Vumilia tu.Hahahahaaaaaaa haya maigizo sijui yataisha lini
Kufa ni lazima ukizaliwa tu.Njaa zitawaua hawa
Kwa mkurugenzi gani?Safari hii hata wafurame hawana chao
Lini waliwahi kucheza fair? Jiandae tu kumuangalia mtulia akiapa bungeni .Maji yapo shingoni kwa fair play hawatoki
Kwa sababu wanaomba kura wakati mwingine wapige magoti kwa kuomba nini?Ndiyo.. Kwanini unyenyekevu ni kwa wakati huu na si kwa wakati mwingine?
Subiri ifike. Huenda asipige kampeni.Bado mzee wa pushap,...cjui 2020 ataruka kichura?
Ndio utakaowapa ubunge.ANAACHA KUMPGIA MAGOTI MUNGU ANAWAPGIA WANANCH, HUU NI UNAFKI
Wataenda.hao waheshimiwa tunawakumbusha wakimaliza wasisahau kwenda kupiga magoti makanisani na misikitini pia!