PICHA: Mbunge Steven Ngonyani akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM, Maulid Mtulia

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
e5e7c226e942d929f6d78ff7b90a66c4.jpg
Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya People Kigogo jijini Dar es salaam jana.

Chanzo: Mwananchi
 
Lazaro Nyalandu alipojiuzulu ubunge japokuwa alijiunga na team Ufipa lakini hakutaka kuwapa adhabu akina Msigwa na Mdee kwenda kupiga magoti na kugalagala majukwaani kumuombea kura. Mwanaume anapopiga magoti kuomba kitu ni ishara ya majuto na kujiona " usiyestahili". Hivyo pamoja na mapungufu yote ya Nyalandu lakini katika hili la kutogombea tena Mungu alimpa macho ya rohoni, nampongeza. Ni hayo machache, ahsante!
 
e5e7c226e942d929f6d78ff7b90a66c4.jpg
Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya People Kigogo jijini Dar es salaam jana.

Chanzo: Mwananchi

Kweli hali si hali kwa upande wao maana si kwa kujitoa ufahamu HUKU, Maana wanasema MKUU anapendwa sasa si waache FAIR PLAY GROUND waumbuliwe PEUPE, shida yote hii ya nini?:D:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom