Picha: Mbunge Almas Maige akipanda mti kwa staili mpya katika Zahanati ya Migungumalo

Huyu itakuwa anakwanga kwa staili ya nsobe nsobe au chuchumia.

Angalieni huyo anapiga maanuizi ya kimya kimya hapo.
 
View attachment 1017625

Tuweni wazalendo jamani, utalinganisha upandaji mti wa beberu Trump na mwenzake Macronn dhidi ya upandaji mti wa mzalendo.

Kada kutoka chama kikongwe kipole kisichofanya mauaji kinachohimiza amani na mshikamano, cham cha mapinduzi, chama cha wanyonge,

Hongera Mbunge Almas Maige, we kiboko, mabeberu yanatetemeka yakikuona.

View attachment 1017624

Labda alikuwa anaumwa mgongo/kiun akashindwa kunama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom