Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
Na matunda ya mti huo yanaliwa hivyo au?Mbunge wa Tabora Kaskazini Almas Maige, akipanda mti kwa staili mpya ya kulala katika zahanati ya Migungumalo, kata ya Usagali wilaya Uyui Jana katika kilele cha maadhimisho ya miaka 42 ya CCM mkoani Tabora.View attachment 1018551
Sent using Jamii Forums mobile app