nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Tuweni wazalendo jamani, utalinganisha upandaji mti wa beberu Trump na mwenzake Macronn dhidi ya upandaji mti wa mzalendo.
Kada kutoka chama kikongwe kipole kisichofanya mauaji kinachohimiza amani na mshikamano, cham cha mapinduzi, chama cha wanyonge,
Hongera Mbunge Almas Maige, we kiboko, mabeberu yanatetemeka yakikuona.