Picha: Mbunge Almas Maige akipanda mti kwa staili mpya katika Zahanati ya Migungumalo

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
mti2.PNG


Tuweni wazalendo jamani, utalinganisha upandaji mti wa beberu Trump na mwenzake Macronn dhidi ya upandaji mti wa mzalendo.

Kada kutoka chama kikongwe kipole kisichofanya mauaji kinachohimiza amani na mshikamano, cham cha mapinduzi, chama cha wanyonge,

Hongera Mbunge Almas Maige, we kiboko, mabeberu yanatetemeka yakikuona.

miti 1.PNG
 
mabeberu wapo wanawashuglia mashoga walio wanunua
KWELI BANA KAMA HUYU BEBERU MTOA ZAWADI HAPA,SI NDO YULE ANASHIRIKIANA NA CHADEMA KUWAPELEKA KINA YERICKO NYERERE KWENYE MAFUNZO YA UJASUSI UJERUMANI KWA MUJIBU WA MZALENDO MUSIBA?
Capture.PNG
 
Nlikua najaribu kutafakari ni kiasi gani Tanzania imepoteza uelekeo, ikabidi nianze na wale wanaojifananisha na rais wa Kwanza wa Tanzania Nyerere.
images(2).jpeg

Hapa Mwalimu Nyerere akipasua kuni
dd2f9179839e24eb5acf9cdd722f200f.jpeg

Hapa mwaccm anajifananisha na nyerere kwa Vitendo akipanda mti.

Huyu anayepanda mti ni Mbunge wa jimbo la Tabora kaskazini, Almas Maige akiwa katika zahanati ya Migungumalo,kata ya Usagali,wilayani Uyui katika kilele cha maadhimisho ya miaka 42 ya CCM mkoani Tabora.

Namshauri aache Unyerere kwani hauwezi..
 
Sema mi nashindwa kuelewa muheshimiwa alimaananisha nini?uwezi juwa labda ni kitendawili kinaitaji jibu..sema hongera kwake kwa kuleta staili mpya ya kupandia miti.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom